06
Wolper amjia juu Mwijaku "Usiongelee maisha yangu"
Msanii wa maigizo na mfanya biashara Jackline Wolper amemjia juu Mwijaku kwa kumtaka aache kuongelea maisha na biashara yake kufuatia taarifa za kuachana na alie kuwa mumewake...
03
Cravalho: Moana imebadilishia maisha yangu
Mwigizaji wa Marekani Auli’i Cravalho, ambaye amejizolea umaarufu kupitia filamu ya ‘Moana 1 & 2’ amefunguka kuwa filamu hiyo imemfungulia maisha kwani i...
04
Diamond ajitosa anga za kina Bill Gates
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...
22
Lulu: Jua Kali haina uhusika na maisha yangu
Mwigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 22, jijini Dar es Salaam amesema kuwa uhusika anaocheza kwen...
07
Burna Boy: Hakuna anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yangu
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
01
Savanna: Familia yangu iligoma kunihudumia kisa mitandao
Na Aisha Charles Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
16
Kajala: Maisha ni yangu mazishi ya kwenu
Mwigizaji wa Bongo movie #KajalaMasanja amewatolea povu watu wanaofuatilia na kutaka kumuharibia jina lake amedai kuwa maisha ni yake ila mazishi ni yao. Kajala ameyasema hayo...
12
Ray C: Roho yangu inasita kurudi Tanzania
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kueleza sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa, sa...
10
Head Master, Afunguka wachekeshaji wa zamani kukosa soko, Amtaja Joti
Na Aisha Charles Ni wazi kuwa baadhi ya vijana wameendelea kujipatia umaarufu na kipato kupitia sanaa ya vichekesho, kati ya vijan...
08
Matukio ya kupotea waandishi wa habari, Yalivyozima ndoto ya mwigizaji John
Na Aisha Charles Wakizungumziwa waigizaji wa Bongo movie wanaokosha mashabiki kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zao za uigizaji ni ngu...
02
20 percent: Siwezi kujishusha kwa sababu ya pesa
Aisha Charles Isikiwapo ngoma iitwayo Mama Neema au Money Money, wengi inawakumbusha miaka 13 iliyopita, kwa sababu ndiyo nyimbo zilizokuwa zikifanya poa kutoka kwa mwanamuzik...
02
Ray C awapa funzo wasanii Bongo
Mwanamziki Rehema Chalamila, maarufu kama Ray C ametoa fuzo kwa wasanii nchini Tanzania, kudumisha upendo ili kazi zao ziweze kufanya vizuri zaidi. Kupitia ukurasa wake wa mta...
23
Esma: Hii ndio ndoa yangu ya mwisho
Baada ya kufunga ndoa usiku wa kuamkia leo na mpenzi wake Jembe One, mfanyabiashara na dada wa mwanamuziki Diamond, Esma Platnumz ameeleza kuwa ndoa hiyo ndio itakuwa ndoa yak...
09
Regina: Nitachagua kumtolea figo mume wangu na siyo baba yangu
Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi ...

Latest Post