Rais Samia apewa tuzo Marekani

Rais Samia apewa tuzo Marekani

Rais Samia amepewa tuzo ya CARE Impact Award for Global Leadership iliyotolewa na Shirika lisilo la Kiserikali la Kimataifa la CARE, Tuzo hiyo imetolewa Jijini New York, Marekani.


Rais amepewa Tuzo hiyo kutokana na uongozi wake mahiri na wa mfano unaoleta mabadiliko makubwa chanya ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania.

Dkt. Elsie Sia Kanza, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani amepokea tuzo hiyo kwa niaba ya Rais Samia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags