Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa klabu ya Modern Future ya Misri, Ahmed Refaat.
Kupi...
Na Aisha Charles
Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG Ashraf Hakimi ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii, kupitia taasisi yake ya ‘A...
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.
Mchezaji huyu b...
Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa matokeo na u...
Baada ya kuzuka sintofahamu kuhusiana na ajali aliyoipata Mwigizaji kutoka nchini Nigeria Pope Odonwodo hatimaye imethibitika kuwa mwigizaji huyo amefariki dunia saa chake baa...
Msemo wa 'Mwalimu wa mathe hapa ni wapi?', unaendana na stori ya Robert Heft, ambaye mwaka 1958 akiwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17, alibuni bendera ya Marekani yenye nyo...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama kutaka kugombea Urais 2024, Michelle amekanusha tetesi hizo kupitia ofisi ya...
Rais wa shirikisho la ‘soka’ Duniani (FIFA) Gianni Infantino ameweka wazi kuwa hakutakuwa na ‘kadi’ ya bluu katika mpira wa miguu.Infantino ameyasema h...
Baada ya ‘timu’ ya Taifa ya #Nigeria, maarufu kama #SuperEagles kuibuka mshindi wa pili katika michuano ya AFCON 2023, wametunukiwa medali za heshima na Rais wao B...
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...