Mwanaume mmoja kutoka Afrika Kusini ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mke wake kupiga picha yenye utata na mkali wa R&...
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza amepewa mkono wa kwaheri baada ya kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili.
Saido ameondoka Simba akiwa ndiye kin...
Imani na hadithi za watu wengi zinaeleza kuwa gerezani ni sehemu ya mateso na dhiki, lakini hii inakuwa tofauti kwa gereza maarufu kutoka Norway liitwalo ‘Halden Prison&...
Ikiwa zimebaki siku chache tuu mwanamuziki kutoka nchini Marekani Taylor Swift kuachia album yake ya mpya iitwayo ‘The Tortured Poets Department’, msanii hiyo amep...
Mtoto wa kwanza kuzaliwa mwaka 2024 nchini Hispania amepewa jina la mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe.
Wazazi wa mtoto huyo wajulikanao kama Fran Barreiro...
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #FrenchMontana amekabidhiwa mnyama aina ya Pundamilia kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa.#Montana amepewa zawadi hiyo na mara...
Ma-bosi wa ‘klabu’ ya #Yanga wamempa zawadi ya gari mchezaji #MaxiNzengeli mara baada ya ‘kiungo’ huyo kupiga mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars kwa ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Ice Spice amepewa kitabu cha dini ya Kikristo (bible) baada ya kumaliza show.
Ice ali-share ‘picha’ ya kitabu hicho kupit...
Rapper kutoka nchini #Marekani, na baby mama wa Rihanna #ASAPRocky ametajwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu (Creative Director) wa ‘kampuni’ ya kutengeneza mavazi ya PU...
Mtibwa Sugar imempa mkono wa kwaheri Kocha Habib Kondo baada ya kusitisha mkataba wake kwa makubadiliano ya pande zote mbiliTaarifa inasema "Tunamshukuru Kocha Habib Kondo ka ...
Mwanamuziki mkongwe nchini Lady JayDee atoa pongezi kwa mtayarishaji wa muziki Andy Muzic wa nchini Uganda pamoja na mkongwe #RamaDee kwa kuhusika moja kwa moja kwenye wimbo w...