Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ndio anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa tuzo za wachekeshaji ‘Tanzania Comedy Award’ ...
Mwigizaji kutoka Marekani, Denzel Washington ameweka wazi kuwa hana wasiwasi wowote baada ya kukosa uteuzi katika tuzo za Oscar huku akidai kuwa anajivunia sana kazi zake kuli...
Ni wazi kuwa Barakah The Prince ni miongoni mwa wanamuziki waliojaliwa vipaji vikubwa hasa upande wa uandishi, sauti na melodi za kuvuti zilizofanya jina lake kuwa kubwa katik...
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
Na Asma HamisMwanamuziki kutoka Afrika Kusini ambaye alitamba na wimbo wa ‘Water’ Tyla ameendelea kung’ara Kimataifa na sasa ameripotiwa kushindwa tuzo ya ms...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Mwanamuziki anayeupiga mwingi kwenye matamasha yake ya kila mwaka, Beyonce ameweka historia nyingine na kuziteka tuzo za Grammy kwa kuteuliwa katika vipengele vingi zaidi, aki...
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...
Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya ‘Empire Lokoma’ Johari Chagula mapema wiki hii ameinua bendera ya Tanzania nchini Nigeria kwa kuondoka na tuzo mbili za The M...
‘Rapa’ Cardi B amemkingia kifua msanii Tyla, aliyekabiliwa na ukosoaji katika mitandao ya kijamii baada ya tukio alilolifanya katika usiku wa Tuzo za Muziki za MTV...
Katika Tuzo za MTV VMAs 2024 zilizotolewa jana Septemba 12 wanamuziki Taylor Swift na Post Malone waliibuka kidedea kwa kuondoka na tuzo nyingi zaidi huku‘kolabo’ ...