01
Diamond kutoana jasho na mastaa wa Nigeria, tuzo za AEAUSA
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
09
Magoma akwaa kisiki kesi dhidi ya Yanga, aamriwa kulipa gharama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Dar es Salaam Young Africans Sports kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Mag...
03
Raia wamkataa mshiriki wa Miss South Africa
Wananchi wa Afrika Kusini wamezua gumzo mitandaoni baada ya kumkataa Chidimma Adetshina kushiriki ‘Miss Afrika Kusini’ kwa kudai kuwa mrembo huyo ni raia wa Nigeri...
04
Tyla aendelea kukimbiza Spotify
Mwanamuziki wa Africa Kusini, Tyla ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ ameendelea kufanya vizuri kupitia ngoma zake, hii ni baada ya albumu yake...
02
Album ya Tyla yazidi kukimbiza Billboard
Album ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Tyla iitwayo ‘TYLA’ kwa mara ya kwanza imeshika namba moja kwenye chart za ‘Billboard World Album Chart’, huk...
19
Kanye west kutua tena Africa
Mwanamuziki Kanye West ambaye kwa sasa anatamba na albumu ya ‘Vultures’ amepanga kuja Africa kwa ajili ya usikilizaji wa albumu yake kwenye Piramid za Saqqara nchi...
18
Tems, Travis kwenye album ya Tyla
Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla tayari ameachia listi ya nyimbo ambazo zipo kwenye albumu yake ambapo mwanamuziki Tems pamoja na Travis Scott wakiwa ni miongoni mwa wasa...
14
Tyla aachia kionjo cha ngoma yake mpya
Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla ameachia kionjo cha ngoma yake mpya ambayo itakuwa katika album yake inayotarajiwa kutoka Ijumaa ya tarehe 22 mwaka huu.Kupitia ukurasa w...
08
Tyla asitisha ziara yake
Mwanamuziki kutoka nchini Africa Kusini Tyla ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ ameripotiwa kughairisha ziara yake ya kwanza ulimwenguni kutoka...
07
Zari na shakibi wamaliza tofauti zao
Baada ya kuzuka sintofahamu kwa wanandoa Zari pamoja na mumewe Shakibi kuwa wameachana, wawili hao wamethibitisha kuwa wapo pamoja baada ya kuonekana Saudi Arabia.Kupitia ukur...
01
African Giant ya Burna yafikia hadhi ya Platinum
Baada ya miaka mitano kuachia album ya ‘African Giant’ na kufanya vizuri sasa album hiyo ya mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy imetangazwa kufikia ...
27
Bruce Africa aeleza Master J alivyomliza
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Bruce amesema wakati yupo BSS, alikuwa anaumizwa na majibu ya Master J, lakini hadi sasa wapo sawa kwani anaamini alikuwa anamjenga na si vinginevyo...
24
Mume wa Zari afungasha virago, arudi Uganda
Aliyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago vyake na kurudi nchini Uganda.Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao...
08
Afariki dunia akishuhudia afcon
Inadaiwa kuwa mwanasiasa kutoka nchini Nigeria Dkt. Cairo Ojougboh, alifariki dunia siku ya jana Februari 7, wakati akishuhudia mchezo wa nusu fainali ya #AFCON, Nigeria dhidi...

Latest Post