06
A Father Figure yatimiza mwaka mmoja
Leo ni Birth Day ya album ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop Dizasta Vina ambayo ilitoka rasmi January 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5,...
31
Utafiti: Kuandika Malengo Kunasaidia Kuyatimiza
Tukiwa tumebakiwa na masaa machache tu kwenda kuumaliza mwaka 2024 na kuingia mwaka 2025 huku kila mtu akiwa na malengo yake anayotamani kuyatimiza mwakani, hivyo basi utafiti...
09
Luisa atimiza ndoto ya kutembea nchi zote duniani
Bibi wa miaka 79 anayefahamika kwa jina la Luisa Yu mzaliwa wa Ufilipino,ametimiza ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani kama alivyokuwa akitamani.Bibi huyo amekuwa na ta...
26
Kocha Klopp atimiza ndoto ya shabiki
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp ametimiza ndoto ya shabiki wa ‘timu’ hiyo raia wa #Ireland kwa kumualika kwenye viwanja vya ...
21
P Diddy atimiza ahadi ya kuchangia dola milion 1
Baada ya ‘rapa’ #PDiddy kutangaza katika Tuzo za #BET za 2022 kuwa atatoa dola milioni 1katika Chuo Kikuu cha #Howard, hatimaye ametimiza ahadi hiyo ambapo alikabi...
11
Rema atimiza ndoto yake ampata Ice Spice
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Rema kueleza ndoto yake ya kuendelea kufanya ‘kolabo’ na ma-star mbalimbali kutoka Marekani, hatimaye ndoto yake ya kwa...
23
Beyonce atimiza ndoto ya shabiki mwenye ulemavu, aliyekosa nafasi kwenye ndege
Shabiki wa Beyonce mwenye ugonjwa wa kupooza hatimaye amefanikiwa kutimiza ndoto ya kumuona msanii huyo kwa mara ya kwanza baada y...
01
Abdulrazak: Nitatimiza ndoto ya mke wangu kupata mtoto
Baada ya siku za hivi karibuni mwanadada @divathebawse kusema anatamani ku-adapt mtoto kutokana na kutopata mtoto kwa muda mrefu, sasa mume wa mtangazaji huyo #Abdulrazk ameib...
07
Baharia wa vita vya pili vya dunia atimiza miaka 100
Baharia wa Wanamaji wa Kifalme Morrell Murphy ambaye aliripotiwa kufariki wakati wa vita vya pili vya dunia amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 100. Mwa...

Latest Post