03
Beyonce, Jayz watajwa mashuhuda kesi mpya ya Diddy
Rapa Sean 'Diddy' Combs anakabiliwa na mashtaka mapya ya biashara ya kuuza binadamu na unyanyasaji wa kingono baada ya Joseph Manzaro kudai alifanyiwa unyanyasaji na rapa huyo...
02
Fid Q awapa mashabiki nafasi ya kuamua
Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025 atakapopanda kwenye jukwaa la Bongo Fleva Honors. Fid Q atafanya sho...
01
Ila Wasamii Kwa Kuzinguana
Kumekuwa na maoni kadhaa kutoka kwa wadau wa muziki kuhusu migogoro katika kazi hiyo. Wapo wanasema bifu zinakuza muziki kwa sababu zinasababisha ushindani katika gemu, lakini...
31
Mambo manne kuhusu Abaya
Jina Abaya naimani siyo geni masikioni mwako hasa katika msimu huu wa Ramadhani. Licha ya watu wengi kusikia jina hilo wapo ambao hawafahamu ni vazi la aina gani na utamaduni ...
27
Hamisa ageuka mwalimu kwa Aziz Ki
Ni wazi kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto amegeuka mwalimu wa lugha kwa mumewe Stephanie Azizi Ki. Hiyo ni baada ya nyota huyo wa soka kuweka wazi kuwa amekuwa akifundishwa kis...
26
Neno Msanii wangu inavyowaponza wasanii wenye lebo
Wapo baadhi ya wasanii Bongo ambao wamewahi kutambulisha wasanii kupitia lebo zao. Mwishoni mwa 2024 Omary Ally maarufu kama Marioo alimtangaza ‘msanii wake’ wa kw...
25
Kwenye hili dunia inawaonea sana wasanii
Nimewahi kukutana na washkaji ambao walifanya makosa makubwa sana kwenye maisha yao, makosa ambayo yaliwagharimu kila kitu walichokuwa nacho, walipoteza kazi, pesa, familia, u...
23
Wasanii waliyosaidiwa na wasanii kutoboa
Kupeana tafu ndio mpango mzima kwenye maisha, hiyo imejidhihirisha kwa baadhi ya wasanii wa muziki nchini ambao wamezibeba historia za mafanikio ya wasanii.Katika historia ya ...
22
Diamond, S2kizzy Na Rayvanny Wakikutana Lazima Haya Yatokee
Peter Akaro Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
22
Mfahamu Elissa Anayetamba Bongo Na Wimbo Wa Halali
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
21
Je, Hip Hop Bongo imekwama
Peter Akaro Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes kudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehemu umekwama, wasanii wenzie wamejibu kaul...
21
Zombie: Hakuna Producer Anayefanya Vitu Ninavyofanya Mimi
Mzalishaji muziki maarufu nchini S2kizzy ‘Zombie’ ameendelea kujimwagia maua yake huku akidai hakuna producer mwingine kutoka Bongo anayeweza kumfikia.Zombie ameya...
20
Hivi bado tunahitaji haya katika video
Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, lakini imejaa maana kubwa.Video ya wimb...
20
Mwigizaji Coletha apozwa na suruali aliyovaa kanisani
Mwigizaji Coletha Raymond amewajia juu wanaomkosoa kwa kwenda kanisani huku amevaa suruali.Mwigizaji huyo ambaye alichapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha...

Latest Post