Mwandishi Wetu, Mwananchi
Miaka 12 iliyopita, msanii Naseeb Abdul 'Diamond aliwahi kueleza Bila malipo ya Sh 10 Milioni hafanyi kolabo.
Hiyo ilikuwa ni Juni 6, 2012, wa...
Video fupi ya marehemu mwanamuziki Michael Jackson (MJ) kutoka Marekani iitwayo ‘Thriller’ imefikisha watazamaji (views) bilioni 1 katika mtandao wa YouTube.Filamu...
Katika enzi hizi za kidijitali ambazo mitandao ya kijamii na majukwaa ya video yanachangia kwa kiasi kuburudisha jamii na kufurahia muziki, wimbo wa watoto "Baby Shark Dance" ...
Moja ya biashara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kama utaweka jitihada na nguvu katika kujifunza ni sanaa. Kutokana na hilo, sekta hii imekuwa ikikimbiliwa na vijana wengi...
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada.
Kupitia ukurasa ...
Na Glorian Sulle
Moja ya kinywaji ambacho hupendelewa haswa na wafanyakazi wengi katika maofisi mbalimbali ‘kahawa’ ndio namba moja, hii ni kutokana na madai kuwa ...
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
Baada ya kukutana na changamoto katika ndoa zao waigizaji Will Smith na Martin Lawrence, wametoa ushauri kwa wanandoa na wapenzi kwa kusisitiza kutendeana mema.
Wawili hao wam...
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amempongeza Stephane Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora kwa kupachika mabao 21 huku akiweka wazi kuwa alistahili.Fei Toto ambaye amef...
‘Klabu’ ya #AzamFC imefikia makubaliano na akademi ya Yeleen Olympique ya nchini Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby....
Kuna msemo usemao kila kitu kina umuhimu wake hata kama chazamani msemo huu umejidhihirisha kutoka katika kampuni ya ‘Fab Bricks’ ambapo wamekuwa wakitumia nguo ch...
Baada ya jana mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kufuta utambulisho na picha zote alizopiga akiwa na jezi za timu hiyo, leo ameendeleza kuonyesha kuwa haitaki tena timu hiyo...
Wakati sakata la mshambuliaji Prince Dube na ‘timu’ yake ya Azam FC likizidi kupamba moto, ripoti zinafichua kwamba Mzimbabwe huyo amefuta utambulisho na picha zak...