Muigizaji Maarufu kutoka Marekani 'Djimon Hounsou' amweka wazi hali ya chumi na kutothaminiwa kwenye tasnia ya filamu Hollywood baada ya kufanya mahojiano na CNN nakufichua ku...
Mwigizaji Julias Charles anayefanya vizuri kwenye tamthilia ya Huba, amesema kutokana na urefu alionao anakumbana na changamoto mbalimbali ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri.Ju...
Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.H...
Point of no Return ni filamu, kuna pisi kali ilionekana humo. Ina sauti laini na mvuto wa asili uliovutia wengi. Kubwa zaidi ni ubora wake katika kutendea haki 'sini' na 'skri...
Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya filamu nchini Tanzania, maarufu kama Bongo Movies, imeonekana kukua kwa kiasi fulani. Hata hivyo, licha ya ukuaji huo bado kunaonekana...
Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mw...
Church boy anayekimbiza kwenye Bongo Movie, hivi ndivyo tunaweza kumuita mwigizaji Isarito Mwakalindile ambaye safari yake kwenye tasnia ya uigizaji ilianzia kanisani katika m...
Na Aisha Charles
Waswahili husema vya kurithi vinazidi, hivi ndivyo naweza kumuelezea mwigizaji wa Bongo movie Abduli Ahmadi Salumu maarufu kama Ben au Selengo, ambaye naweza ...
Mwigizaji wa filamu za Bongo Movie Madebe amedai kuwa ukifika miaka 30 bado ukawa haujapata mtoto basi ‘umefeli’ kwa sababu yeye anaamini sasa hivi kuishi mwisho n...
Ebwana kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Star wa filamu nchini Rose Ndauka atangaza rasmi kuachana na Muziki pamoja na filamu yaani sanaa kiujumla. Mimi Naureen Mkongwa ...
Star mkongwe wa filamu nchini, Johari Chagula amefunguka na kusema kuwa hawezi kuforce kuolewa ila anaimani kuwa wakati wa sahihi wa Mungu utafika na ataolewa.
Maneno hayo ya ...
It’s blue Monday wadau wameamua kuipa jina hilo bwana, ndani ya Mwananchi Scoop kila ifikapo siku hii huwa kwetu tunazungumzia masuala mazima ya kazi, ajira na maarifa m...