Maisha yanachangamoto zake, na siyo kila tajiri au mtu maarufu alizaliwa katika mazingira hayo. Wengi wao walianza kujitafuta chini lakini sasa wameuteka ulimwengu kwa majina ...
Rapa kutoka Marekani Offset amewasilisha madai mahakamani akitaka kushiriki malezi ya pamoja ya watoto wao na aliyowapata na aliyekuwa mke wake Cardi B.Kwa mujibu wa nyaraka z...
Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii mapema leo Februari 26, 2025 nikakutana na video inayomuonesha mwanamuziki Alikiba akisalimiana na Harmonize kwa kukumbatiana ...
Rapa wa Marekani Rick Ross ameonesha nia ya kununua mjengo wa msanii Cardi B baada ya rapa huyo kudai kuwa ameuchoka.Kupitia kwenye mtandao wa X zamani Twitter Rapa huyo wakik...
Rapa kutoka Marekani Offset amedai aliyekuwa mkewe na mzazi mwenzie Cardi B aliwahi kuchepuka kipindi akiwa na ujauzito wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.Offset ameyazungum...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...
‘Rapa’ Cardi B amemkingia kifua msanii Tyla, aliyekabiliwa na ukosoaji katika mitandao ya kijamii baada ya tukio alilolifanya katika usiku wa Tuzo za Muziki za MTV...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B na mumewe Offset wameripotiwa kuonekana pamoja wakifurahia siku ya kuzaliwa ya mtoto wao siku chache zilizopita licha ya wawili hao kuwasilisha...
Baada ya kuwepo na minong’ono kupitia mitandao ya kijamii ambayo baadhi ya mashabiki wakitaka kujua ujauzito aliyonao Cardi B ni wanani, sasa msanii huyo ameweka wazi ku...
Baada ya kutangaza kupeleka shauri mahakamani la kudai talaka pamoja na kuweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa tatu ‘rapa’ Cardi B anaripotiwa kuendelea na mp...
Usiku wa jana Agosti 1, ‘rapa’ wa Marekani Cardi B kupitia ukurasa wake wa Instagram ali-share picha na kutangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa tatu, jambo ...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B ameshitakiwa na wasanii wawili nchini humo kwa madai ya kutumia baadhi ya mistari yao katika wimbo wake wa ‘Enough’ bila kuwapa taa...
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
Zikiwa zimepita siku chache tangu albumu ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, Tyla kufikisha zaidi ya wasikilizaji (streams) bilioni moja katika mtandao wa Spotify na sasa ni ...