Tunaweza kusema Tundaman ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva walioweza kubadilika kadri muziki unavyokua kitu kilichomfanya kuwepo masikioni mwa mashabiki kwa ...
Rapcha amezaliwa Septemba 1999. Kwa hiyo kwa kulazimisha unaweza ukasema Rapcha ni mtoto wa ‘efu mbili’. Na wote tunajua kwa kawaida stori za madogo wa elfu ...
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Msaga Sumu imeendelea kuimarika ikiwa leo ni siku ya tatu tangu apate ajali na kufikishwa Taasisi ya Tiba na Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishi...
Rhobi Chacha Taasisi ya Aisha Masaka Foundation, iliyoanzishwa na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania na klabu ya Brighton & Hove Albion F.C. ya Uingereza, A...
Meneja wa mwanamuziki wa Singeli, Msaga Sumu, Khalid Ali au Dj Msolopa, amethibitisha msanii huyo kupata ajali huku chanzo chake akidai ni bodaboda.Akizungumza na Mwananchi, m...
Mshindi wa Grammy na mkali wa Afrobeats kutokea Nigeria, Tems amesema huu ni mwaka wa tatu sasa anaishi London, Uingereza kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki pamoja na mamb...
Rhobi Chacha
Msanii wa Bongo Fleva, Chino Kidd amesema pamoja na umaarufu wake anahitaji sana kurudi shule ili aongeze uwezo wake wa kuimba.Chino ambaye anapendelea kuimba mti...
Mwalimu Abdul Malik maarufu kama ‘Tube Master’ mwenye umri wa miaka 42 kutoka nchini India amekuwa akiwavutia wengi kufuatia na kujitoa kwake, ambapo kwa takribani...
Ikiwa ni wiki mmoja imepita tangu kesi ya rapa wa Marekani, Diddy Combos ikiendelea kuunguruma mahakamani huku baadhi ya watoa mashtaka wakianza kutoa ushahidi akiwemo aliyeku...
Muziki unapopigwa na umati kuanza kucheza kwa furaha, si rahisi mtu kufikiria mara mbili kuhusu nani aliyesimama nyuma ya vifaa vya DJ, na punde anapogundua kuwa aliyenyuma ya...
Msongo wa mawazo, ni kawaida katika maisha ya kila siku, lakini jambo hilo likiwa endelevu linaweza kukuharibia mfumo mzima wa maisha na kujikuta ukiingia katika njia isiyo sa...
Baada ya ukimya wa muda mrefu, mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, Rihanna anatarajia kuachia wimbo mpya Ijumaa Mei 16,2025.Kwa mujibu wa tovuti ya Billboard, Rihanna ataa...
Mwanamuziki Barnaba Classic, ameweka wazi siri inayomfanya kuendelea kufanya vizuri kwenye gemu ya muziki akieleza kuwa ni nidhamu, heshima, muda pamoja na ushindani wa vitend...
Akihitimisha siku ya pili ya kutoa ushahidi katika kesi ya shirikisho inayomkabili Sean "Diddy" Combs. Mwanamuziki Cassie Ventura alilia kwa uchungu huku akifichua kwamba aliw...