26
Mzigo wa kesi za Diddy wa punguzwa
Jumatatu Machi 24, 2025, Jaji J. Paul Oetken alitupilia mbali mashtaka yaliyofunguliwa na mtayarishaji muziki 'Rodney Lil Rod Jones' dhidi ya 'Diddy Combs' .Ni mashtaka yaliyo...
25
Shatta Wale adiwa kususia pesa kisa Diamond
Msanii tokea nchini Ghana, Shatta Wale anadaiwa kurudisha kiasi cha pesa alicholipwa kwenye show kisa kupewa pesa ndogo ukilinganisha na wasanii wengine kama Diamond na Davido...
25
Sanaa ya Marekani inavyowateka watu kwa namba 911
Sanaa ya Marekani inavyowateka watu kwa namba 911 Usishangae ukichukua Watanzania 10 ambao hawajahi kufika Marekani hata siku moja, ukawaambia wakutajie namba ya simu ya dharu...
25
Watu maarufu wanaomiliki ndege
Umiliki wa ndege binafsi kwa watu maarufu ni moja ya kitu kinachoonekana kama mafanikio yao. Lakini pia hilo huusisha gharama za usafiri huo wa anga ambao wanamiliki. Wafahamu...
25
Huyu ndiye mtangazaji wa kwanza kutangaza Bongo Fleva redioni
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, tasnia ya burudani inaendelea kukua kwa kasi, kutokana na kuwepo kwa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii. Lakini je umewahi ...
24
G Son afariki dunia akiwa Marekani
Aliyekuwa rapa wa kundi la Xplastaz nchini, Godson Rutta G San (G Son) amefariki dunia akiwa nchini Marekani.Taarifa zinasema G Son ambaye jina lake halisi ni Godson Rutta ali...
24
Serikali yaomba muda zaidi upelelezi kesi ya Nicole
Serikali yaomba muda kukamilisha upelelezi kesi ya msanii wa fani ya uigizaji, Joyce Mbaga (32) maarufu Nicole Berry na mwenzake, Rehema Mahanyu (31), wanaokabiliwa na kesi ya...
24
Kassim Mganga atoa maana ya collabo ya kimataifa
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nafanya ‘interview’ na msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga. Ilikuwa ni kipindi ambacho wasanii wa Bongo walikuwa wamechachamaa kufanya...
24
Nikki wa Pili alivyo badilisha ndoto ya Dyna Nyange
Nyimbo zake za mwanzo kama Mafungu (2009) na Nivute Kwao (2011) ndizo zilimpatia umaarufu kimuziki Dayna Nyange na hadi sasa anaendelea na kazi yake hiyo ya kutoa burudani kwa...
17
Sokwe wa Michael Jackson atimiza miaka 42
Sokwe wa aliyekuwa mfalme wa pop Michael Jackson ametimiza miaka 42 tangu kuzaliwa kwake.Sokwe huyo aitwaye Bubble ambaye kwa sasa anaishi katika hifadhi maarufu huko Florida ...
16
A$ap alivyo pafomu kwenye ndege
Rapa na mkali wa mitindo tokea Marekani, A$ap Rocky ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutumbuiza akiwa kwenye ndani ya 'Helicopter' kwenye tamasha la muziki la Rollin...
10
Harmonize kuja na Konde Talent Search, Jaji Masta j
Msanii wa Bongofleva Harmonize wakati akielekea kutoa dozi ya burudani 'Tukaijaze Nangwanda' itakayofanyika Mtwara, ameandaa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki.Harmonize a...
09
Majukwaa ya muziki yadaiwa kufungia Album ya Tory Lanez
Wakili wa rapa Tory Lanez, Moe Gangat ameyalalamikia majukwaa ya muziki kuficha Album mpya ya 'Peterson' kutoka kwa msanii huyo akidai kuwa hawataki iingie kwenye trend.Wakili...
03
kutoka Darassa hadi Leornado
KUTOKA DARASSA HADI LEONARDO"...255 Champion Boy niite Mbwana Samatta, haaa..." Dude la kibabe sana. Linaanza kibingwa, linaisha kindava. 'Biti' ya kikatili kama isaundi traki...

Latest Post