Ombi lililowasilishwa la kumkamata rapa Nick Minaj kufuatiwa na kesi ya kumpiga aliyekuwa meneja wake wa zamani, limekataliwa kutokana na kutokuwa na ushahidi wa kutosha Msema...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Nicki Minaj ameripotiwa kukabiliwa na kesi iliyofunguliwa na meneja wake wa zamani aitwaye Brandon Garrett ambaye amedai kuwa Minaj alimpiga wakat...
Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Rapa kutoka Canada, Drake ameonekana kuwa na ukaribu zaidi na mtoto wake wa kiume aitwaye Adonis licha ya kutengana na mama wa mtoto huyo Sophie Brussaux.Kupitia ukurasa wa In...
Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf’ baada ya kugundulika kuwa amekuwa ...
Mama wa kambo wa mwanamuziki kutoka Marekani Madonna ambaye alimlea kwa muda mrefu aitwaye Joan Ciccone amefariki dunia.Kwa mujibu wa Tmz mwanamke huyo alifariki dunia wiki hi...
Mwanamuziki wa Marekani Beyonce ameripotiwa kuwakacha wagombea Urais nchini humo Kamala Harris na Donald Trump.Haya yamejiri baada ya timu ya msanii huyo ikiwakilishwa na msem...
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ulimwengu unaendelea kufurahia kazi za Charlie Chaplin, msanii maarufu wa vichekesho aliyezaliwa Aprili 16, 1889 London, Uingereza, alijuli...
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump ameripotiwa kutumia picha ya Taylor Swift iliyotengenezwa na akili bandia kuhimiza watu kumuunga mkono katika uchaguzi u...
Prodyuza wa muziki wa kimataifa, Harmony Samuels a.k.a H Money, ameachia wimbo mpya uitwao 'Tic Tik' akimshirikisha gwiji kutoka Nigeria, Reekado Banks.Katika wimbo huo wenye ...
Baada ya kutamba katika remix ya ‘Komasava’ aliyomshirikisha msanii wa Marekani Jason Derulo na kupokelewa kwa ukubwa, sasa mwanamuziki Diamond ameripotiwa kufanya...