Kuvaa mavazi bora na ya heshima katika sehemu za kazi kuna umuhimu mkubwa na kunaleta faida nyingi kwa mfanyakazi na kwa shirika kwa ujumla. Hivyo ni muhimu kama mfanyakazi ku...
Na Glorian Sulle
Ushawahi kujiuliza ni ipi faida ya toner kwenye ngozi? Basi leo acha tukufahamishe ni ipi kazi ya toner na faida nyingine katika kutunza ngozi.
Ili kufa...
Wataalamu wa afya wanasema tunda la Tikiti Maji ni chanzo kikuu cha protini, mafuta, nyuzinyuzi, wanga, calcium, phosphorus, chuma, vitamin A, B6, C, Potasium na virutubisho v...
Baada ya kujuzana namna ya kupata wateja katika mitandao ya kijamii na jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kujipatia fursa, wiki hii Mwananchi Scoop imea...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...
Na Aisha Lungato
Maendeleo makubwa katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu ikiwemo namna tunavyowas...
Nguo za mtumba ni nguo ambazo zimekuwa kizipendwa na kuvaliwa na watu wengi kutokana na utofauti wake, yaani ni nadra sana kukuta nguo hizo zilizofanana. Huku sababu nyingine ...
Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina faida yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka.
Kwa mujibu wa tafit...
Na Aisha Lungato
Katika maisha ya kawaida mambo hatari yanayoweza kusababisha mtu kupoteze maisha ni pale anapokosa msaada wa huduma ya kwanza pindi anapokabiliwa na ugonjwa a...
BIASHARA YA UJI WA MCHELE ILIVYO NA FAIDANa Aisha Lungato Sikukuu zimeisha maisha yanaendelea. Leo nimekuletea biashara ya uji wa Mchele. Kwa haraka unaweza kuona ni biashara ...
Konde Boy anaonekana ana ‘bato’ na Diamond inamsaidia Konde Boy kuliko Diamondi. Kumbuka DMX na Jah Rule ‘bato’ lao lilimsaidia zaidi Jah Rule na kumtu...
Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaan...
Kwa baadhi ya watu hutumia muda wao kwenda kufanya ‘masaji’ kwa lengo la kuondoa uchovu na kuweka miili yao sawa, na walio wengi wamezoea kufanyiwa ‘masaji&r...
Na Magreth Bavuma
Ouyaaaaaah wanangu eeeeh niaje niaje, kusanya kijiji chako wakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu tuna...