Brian Deacon ni jina la mwigizaji maarufu wa Uingereza aliyecheza kama Yesu Kristo katika filamu ya 'Jesus' (1979), iliyoandaliwa na kampuni ya 'Jesus Film Project'. Filamu hi...
Mwigizaji wa Marekani Angelina Jolie alikiri kwamba alikua akivuta sigara pakiti mbili kwa siku kabla ya kuanza mazoezi ya kujiandaa kwa na filamu ya Tomb Raider. Wakati wa ma...
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
Kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa filamu kutoka Marekani, Marvel Studios imeshusha orodha ya filamu ambazo zitaachiwa mwaka 2025.Kupitia tovuti ya Marvel wametangaza ku...
Filamu inayoonesha na kuelezea maisha halisi ya mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ‘MJ’, imepangwa kuoneshwa rasmi kwa mara ya kwanza Oktoba 3, 2024 baada ya ku...
Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
2024 tunaweza kusema umekuwa mwaka wa uzinduzi na mafanikio katika kiwanda cha filamu duniani hii ni kutokana na filamu nyingi maarufu kuachiwa kama ile ya Deadpool & Wolv...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Na Asma HamisLicha ya kukimbiza kwenye muziki wasanii kutoka Marekani Ariana Grande na Beyoncé Sasa wanatajwa kuonesha uwezo wao kwenye filamu za muziki.Kwa mujibu wa t...
Waswahili wanasema vya kale ni dhahabu, watozi na wanagenzi wakafika mbali zaidi na kusema wakongwe hawafi 'legends never die'.
Hii imethibitika baada ya mwigizaji mkongwe Sha...
Baada ya mwigizaji Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, amefunguka kuwa ni muda wa watengenezaji filamu kujitoa ili kazi zao z...
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
Mwonekano mpya wa mwigizaji na nyota wa WWE, Dave Bautista umewapa wasiwasi mashabiki, baada ya picha yake kusambaa mitandaoni ikumuonesha amepungua (amekuwa mwembamba) kuliko...