16
Momoa Azua Gumzo Baada Ya Kunyoa Ndevu
Kwa zaidi ya miaka sita, mwigizaji maarufu Jason Momoa amekuwa akitambulika kwa mwonekano wake wa ndevu ikiwa ni nembo pekee ambayo ilimpa umaarufu kupitia uhusika wake katika...
04
Squid Game Msimu Wa Tatu Na Rekodi Zake
Kampuni ya Netflix imeweka historia nyingine kupitia msimu wa tatu wa tamthilia maarufu ya Kikorea, Squid Game, baada ya sehemu hiyo kuvunja rekodi ya watazamaji katika siku t...
25
Baada ya Miaka Minne, Squid Game Kutamatika Juni 27
Kampuni inayohusika na kuonesha filamu ya ‘Squid Game’, Netflix imethibitisha hitimisho ‘Final’ ya filamu hiyo kutoka wiki hii, msimu wa tatu wa Squid ...
03
Lee Jung anawasiwasi kuhusu msimu ujao wa Squid Game
Wakati mashabiki kutoka pande zote za dunia wakisubiri kwa hamu toleo la mwisho la filamu ya Squid Game 3. Kwa upande wa Lee Jung-jae anayeigiza kama Seong Gi-hun kwenye filam...
07
Nyota Wa Kwenye Spider-Man, Achumbia
Jacob Batalon ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya Spider-Man, akicheza kama Ned Leeds amemchumbia mpenzi wake wa muda mrefu Veronica Leahov.Tukio la wawili hao kuchumbia...
02
Ishow Speed Akipata cha mtema Kuni
Mwanamitandao na mtiririshaji wa maudhui kupitia mtandao wa YouTube Ishow Speed amejikuta akiumizwa baada ya kuingia kwenye ulingo wa mieleka wa WWE Royal Rumble 2025 na kuond...
31
Final Squid Game Kutoka June 27
Wasambazaji wa filamu ya ‘Squid Game’ iliyoweka rekodi zaidi toka kuachiwa kwake wameweka wazi kuwa msimu wa tatu wa filamu hiyo utakuwa wa mwisho kuachiwa.Kupitia...
10
Squid Game Msimu Wa Pili Yaendelea Kuweka Rekodi
Filamu ya Squid Game msimu wa pili inayooneshwa kupitia Netflix imeendelea kukusanya rekodi na sasa imetajwa kuwa ndio filamu iliyofuatiliwa zaidi na watu wasiotumia lugha ya ...
04
Squid Game Msimu Wa 3 Kutoka June 2025
Baada ya filamu ya Squid Game Msimu wa 2 kufanya vizuri na kupata rekodi za kutosha, hatimaye wasambazaji wa filamu hiyo Netflix wametangaza tarehe rasmi ya kuachia filamu hiy...
02
Thanos Bishoo Aliyevutia Wengi Squid Game 2
Uzuri au ubaya wa sanaa ya maigizo hubebwa na stori au wahusika wanaowasilisha maudhui katika kazi hiyo. Wakati mwingine wahusika huvaa uhalisia hadi kupelekea jamii kuamini n...
01
Jiandae Kupokea Squid Game Msimu Wa 3 Mwaka Huu
Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
30
Filamu Ya Squid Game Season 2 Yaweka Rekodi
Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
26
Squid Game msimu wa pili yaachiwa leo
Hatimaye filamu maarufu ya Korea Kusini iitwayo Squid Game msimu wa pili inaachiwa rasmi leo Desemba 26, 2024.Msimu huu mpya wa Squid Game unatarajiwa kumuonesha mshindi wa aw...
13
Mr Beast Amwaga Pesa Kujenga Mji
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameripotiwa kuwekeza mpunga m...

Latest Post