Mwigizaji wa Hong Kong Jackie Chan ametangaza nia ya kuchangia utajiri wake wote, unaokadiriwa kufikia dola 400 milioni 'Sh 966 bilioni', kama msaada kwa watu wenye uhitaji.Mw...
Kila kazi huna na changamoto zake, bila kujali ukubwa au udogo wake. Katika tasnia ya uigizaji wasanii hutumia mbinu mbalimbali ili kuzipa ubora kazi zao, lakini mbinu hizo wa...
Mwigizaji kutoka Marekani Martin Lawrence amefichua siri kuwa aliwahi kuombwa kuigiza pamoja na mkali wa filamu za mkono Jackie Chan katika filamu ya ‘Rush Hour’ y...
Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu picha ya mwigizaji kutoka China, Jackie Chan kuzua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana akiwa ameota mvi kichwani na kwenye ndevu, sasa mwigiza...
Picha za mwigizaji Jackie Chan zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zimezua gumzo baada ya nyota huyo kuonekana akiwa ameota mvi kichwani na kwenye ndevu.Picha hizo alizop...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini China, Jackie Chan amewashangaza wengi baada ya kueleza kuwa haijui familia maarufu ya Kardashian, ambayo ndiyo anatoka mwanamitindo na mfanyab...
Muigizaji wa kijapani Jackie Chan anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 400, cha kusangaza ni kwamba hatamrithisha utajiri wake mwane Jaycee Chan kutokana na kuwa ...