Shirika la upelelezi Marekani (FBI) imefanya ukaguzi nyumbani kwa aliyekuwa mume wa mwigizaji Jennifer Lopez, Ben Affleck, hii ni baada ya maafisa hao kuonekana wakitoka nyumb...
Mwigizaji na mwanamuziki Jennifer Lopez amedaiwa kuwa na wasiwasi na mashaka kuhusiana na aliyekuwa mume wake Ben Affleck baada ya kuondolewa kwenye nyumba yake iliyopo Pacifi...
Mwanamuziki Jennifer Lopez na aliyekuwa mumewe Ben Affleck wameendelea kuonekana pamoja licha ya wawili wao kutarajia kupeana talaka.Lopez na Ben walionekana pamoja katika usi...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez, ameripotiwa kufungua shauri la kudai talaka kwa mumewe, Ben Affleck.Kwa mujibu wa TMZ, Lopez amewasilisha shauri hilo mah...
Baada ya kuwepo kwa tetesi za mwanamuziki #JenniferLopezi na mumewe #BenAffeck kutengana na kuuza nyumba yao waliyokuwa wakiishi, hatimaye wawili hao wamekutana tena katika ma...
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni.
Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
Aliyekuwa mwanamitindo maarufu nchini Italia, #RobertoCavalli mwenye umri wa miaka 83 maarufu kama ‘King of leopard print’ amefariki dunia jana Jumamosi.
Cavalli a...
Muigizaji na muimbaji Jennifer Lopez ametangaza kuwa atafunga pingu za maisha baada ya wapenzi hao kusitisha harusi yao.
Lopez mwenye umri wa miaka 52, alidokeza kuwa amechumb...
Moja ya story huko mitandaoni ni uwepo wa tetesi ambazo zinadai kuwa msanii Jennifer Lopez na mchumba wake Ben Affleck wanaelekea kufunga ndoa.
Suala hilo limeibuka baada ya J...