Mwanamuziki Diamond licha ya kufanya vizuri kwa miondoko na midundo mbalimbali ya muziki. Lakini mashairi ya kunung'unika yanaonekana kumbeba zaidi "Aloiumba leo ni Mungu na n...
Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, ndani ya miaka hiyo msanii huyo tayari ame...
Mwanamuziki kutoka Marekani Jason Derulo anatarajia kutumbuiza remix ya ngoma ya ‘Komasava’ na Diamond kwa mara ya kwanza jijini Johannesburg.Kupitia ukurasa wa In...