Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ameweka wazi juu ya uwepo wa kazi na Malkia wa Muziki wa Taarab Khadija Kopa.Zombie amechapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ak...
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ametangaza kuongeza studio mbili za kurekodia kutokana na kuelemewa na foleni kubwa ya wasanii wanaohitaji huduma. "Inabibidi niongeze st...
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiw...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameweka wazi kuwa yupo kwenye ndoa kwa miaka minne sasa.Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) alithibitisha hilo baada ya sh...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel amejipongeza kwa kujinunulia gari aina ya ‘Rolls Royce Cullinan’ akisheherekea kutimiza miaka 10 katika muziki.Msanii...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel akanusha taarifa ya yeye kukamatwa nchini Ivory Coast kwa madai ya kuwa alikataa kutumbuiza kwenye show moja nchini humo, licha y...
Mwanamuziki @officialzuchu atoa pongezi kwa mzalishaji wa muziki anayefanya vizuri nchini @s2kizzy kwa kazi kubwa anayofanya .
Zuchu amesema kuwa ni vyema ampatie producer huy...
Alooooweeeeh! Alooooohtenaaah! Jamani jamani kumbe kijana wa buga yuko fire kwenye haya matukio kama unavyotujua watu wa bongo yani hatunaga mba mba mba tayari watu washafukua...
Aloooooooooooh! Mama k nae yuko moto bwana hajamua kukaa kimya kwa hili lililo tokea jana la gumzo la mwanamziki anaetamba na nyimbo yake ya Buga ambayo inafanya vizuri kupiti...