Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ameweka wazi juu ya uwepo wa kazi na Malkia wa Muziki wa Taarab Khadija Kopa.Zombie amechapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ak...
Wakati wimbo wa mwanamuziki Zuchu aliomshirikisha Diamond ‘Wale Wale’ ukiendelea kufanya vizuri kwenye mitandao ya kusikiliza muziki huku ukishika nafasi ya tatu k...
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
Akizungumza na waandishi wa habari DC wa Instagram #Mwijaku amedai kuwa baada ya kukutana na Bi Khadija Kopa na kuyamaliza yaliyokuwa yanaendelea mitandaoni baada ya kumkosea ...
Huwenda mwanamuziki @officialzuchu , anakaribia kutoa wimbo mpya, kutokana na kionjo cha maneno ambacho ame-share kama caption kwenye picha aliyo-post katika ukurasa wake wa #...
Nchi ya Tanzania imepata Mkopo wa Dola za Marekani Milioni 300 ambapo ni takribani billion 700 kwa pesa za kitanzani kwa ajili ya kuchochea uzalishaji, kuimarisha sekta ya kil...
Na Asha CharlesStaa wa muziki wa Taarabu nchini, Khadija Kopa amefunguka na kuwataka wasanii wenzake waweze kujikita katika shughuli za kijamii.
Akizungumza na moja ya chombo ...
Mkongwe wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa amepewa tuzo ya Mwanamke wa Shoka kwenye sanaa yake ya muziki.
Tuzo hiyo alipatiwa kufuatiwa na kongamano la si...
Ohoo! Hii ni kubwa kuliko ambapo Malkia wa mipasho nchini Tanzania Khadija Kopa ametoa taarifa za mtoto wake kuhusishwa kuwa na mahusiano na msanii Diamond platnumz.
Kup...
Muziki ni jambo ambalo linashabikiwa sana na vijana wengi licha ya kuwepo kwa wimbi kubwa la wasanii hapa kwetu bongo lakini bado underground wanafufuka kila inapoitwa leo.
Ha...