WhatsApp imeweka feature mpya inayowaruhusu watumiaji wake kuweka wimbo wowote waupendao kwenye hadithi (status).Kwa kutumia feature hiyo mpya unaweza kuchaguwa kipande cha wi...
Kelvin KagamboUkitaja wasanii watano wakubwa wa kuimba Tanzania wanawake wapo. Ukitaja waigizaji wakubwa wa filamu Tanzania wanawake wapo.Ukitaja madairekta wakubwa wa michezo...
Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akilete ladha tofauti ...
Baadhi ya watumiaji wa simu za mkononi wamekuwa wakijiuliza ni jinsi gani wanaweza kuficha meseji za kawaida kwenye simu zao ili mtu mwingine asizione wala kuzifungua.Zifuataz...
Marehemu mfalme wa Pop Marekani, Michael Jackson anatajwa kuwa mwanamuziki ambaye alikuwa na mapenzi makubwa katika katuni huku akiweka wazi kuvutiwa na filamu za katuni.Wakat...
Ni wazi kumekuwa na makundi mengi ya muziki ambayo yamevunjika, sio tu Tanzania bali hata sehemu nyingine mfano kundi la P-Square lililokuwa likiundwa na ndugu wa...
Mike Tyson ni mmoja kati ya mabondia maarufu zaidi katika historia ya ndondi za uzito wa juu (heavyweight). Alijulikana kwa umahiri wake, kasi na mtindo wa kumshambulia mpinza...
Moja ya jambo ambalo limeibua mijadara mingi katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na mwanamuziki Wizkid kuongoza (Director) mwenyewe video ya wimbo wake uitwao ‘Kese&...
Kama ulikuwa haujui basi leo nakusanua, unapofuta Picha, Call, Jumbe ‘SMS’ jua tuu hazifutiki bali zinabaki katika simu yako.Na kama ilivyokawaidia yetu Leo kwenye...
Jacob Batalon ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya Spider-Man, akicheza kama Ned Leeds amemchumbia mpenzi wake wa muda mrefu Veronica Leahov.Tukio la wawili hao kuchumbia...
Rapa Kanye West ameweka wazi pindi atakapofariki basi angependa msanii mwenzake Drake awe msomaji wa hotuba katika siku hiyo.Kupitia ukurasa wa X (zamani twitter), Kanye amemu...
Zikitajwa nyimbo kumi za Bongo zenye mafanikio makubwa, lazima jina la mzalishaji muziki S2kizzy litajwe. Hii ni kutokana na mkali huyo kuhusika kwenye kutengeneza nyimbo nyin...
Kawaida tasnia ya muziki inaambatana na masuala ya fasheni na mitindo. Na hii ni kutokana na mchango wa mwonekano katika katika kukuza brand ya msanii.
Hii imejionesha k...
Miaka ya 1940, kulikuwa na saluni zilizopewa jina la ‘Slenderizing Salons’. Saluni hizo zilipata umaarufu kutokana na wanawake wengi kupendelea kwenda kwa lengo la...