Kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii kudanganya umri na kutaja mdogo zaidi uoga wa uzee na ubaguzi unataja kuwa chanzo cha kufanya hivyo. Akizungumza na Mwananchi Scoop mwan...
Mkali wa hip-hop kutoka Marekani Diddy amekanusha tuhuma zote zilizotolewa na aliyekuwa producer wake Rodney “Lil Rod” Jones akidai kuwa producer huyo alizitoa kwa...
Mwigizaji na mtayarishaji wa muziki Marekani Questlove, amedai kuwa hakuwahi kuwa shabiki wa marehemu mwanamuziki Tupac wala kuikubali ngoma yake iitwayo ‘Hit Em Up&rsqu...
Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwak...
Kama tunavyojua wapo baadhi ya watu pesa kwao sio kitu, sasa tumeamua kuwasogezea sehemu ambayo wataenda kuenjoy maisha, ambapo ni katika hoteli yenye gharama zaidi duniani il...
Charity JamesHabari ya mjini kwa sasa kwa baadhi ya wanawake hasa maarufu ni namna wanavyopambana kutengeneza miili yao kwa upasuaji ili kuwa na mionekano ya tofauti.Hilo lili...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa #Bongofleva #Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada #Munalove, hatimaye #Platform amekanush...
Mfanyabiashara #MunaLove amedai kuwa mtu akienda kupata huduma ya upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio kuna taarifa ambazo madaktari huwa hawamwambii mteja hadi wakimaliza k...
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, #MercyChinwo na mumewe #BlessedUzochikwa, wamepata mtoto wa kiume.Wanandoa hao walitoa taarifa hiyo Jana Ijumaa kupitia mitandao yao ya k...
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya AC Milan, #OlivierGiroud ameonyesha ukubwa wake ndani ya uwanja baada ya kubeba majukumu ya mlinda mlango dhidi ya Genoa katika ‘m...
Mwanamuziki wa kizazi kipya #GigyMoney akiwa katika interview na waandishi wa habari amedai kuwa #MashaLove sio rafiki yake yeye anachofahamu Masha ni chawa tu, Gigy amedai ha...
Baada ya mwanamuziki kutoka Congo #Sapologuanoodenumz kuishusha audio ya wimbo wa Enjoy kutoka kwa mkali Jux ambao kamshirikisha Diamond , sasa kijana huyo adai kuifuta na vid...
Nyota mkongwe wa Muziki wa Rock 'n' Roll kutoka nchini Uswisi amefariki dunia nyumbani kwake huko Kusnacht akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujib...
Nyota wa midundo ya Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy ameomba radhi mashabiki wake baada ya kuchelewa kupanda jukwaani katika tamasha ambalo alipanda jukwaani muda ukiwa umeen...