06
Huyu Ndio Justin Bieber Wa Lulu
Tangu kuanza kwake muziki msanii wa Canada, Justin Bieber alikuwa akiwachanganya mabinti wengi kwenye mitandao ya kijamii kutokana na mwonekano wake, huku akiwamaliza zaidi kw...
25
Lulu Diva Amkingia Kifua Wema, Atoa Onyo Kwa Jamii
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Lulu Diva anayetamba na nyimbo kama Utamu, Ona, Amezoea, Nilegeze na nyingine, amesema ifikie mahala watu waache kumuuliza Wema Sepetu kuhusu kupat...
01
Wema Sepetu hajarudia makosa
Mwigizaji mkongwe na mfanyabiashara Wema Sepetu ni kama amejifunza kutokana na yaliyotokea mwaka 2023 katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake, kwani mwaka huu amefanya sher...
22
Lulu: Jua Kali haina uhusika na maisha yangu
Mwigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 22, jijini Dar es Salaam amesema kuwa uhusika anaocheza kwen...
21
Lulu Diva kumpa fundisho Lavalava
Baada ya mwanamuziki Lavalava kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mwanadada Lulu Diva na kuwa kwa sasa amebaki kuwa kama dada kwake, msanii Diva amemjia juu Lavalava kwa ku...
20
Bongo Movie ilivyowapa kisogo mamisi
Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo,  Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57,  huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mw...
09
Mfahamu mwanamke anayepiga miluzi kwa kutumia pua
Lulu Lotus mzaliwa wa Mississauga nchini Canada ambaye anashikiria rekodi ya kuwa binadamu anayeweza kutumia pua kupiga miluzi inaoendana na sauti za nyimbo mbalimbali, anaend...
04
Wema, Halima Kopwe, Shilole kwa Jokate
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...
19
Lulu: Mtu asitamani kuwa chawa wangu, Ninavisirani
Muigizaji wa #BongoMovie #ElizabethiMichel maarufu kama #Lulu ameeleza kuwa mtu asitamani kuwa chawa wake kwa sababu anavisirani sana kwa hiyo kazi ya chawa itakuwa ngumu kwak...
09
Lulu: Simlaumu mama Kanumba
Baada ya muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) kuonekana kwenye video akiwa anasalimiana na mama yake marehemu Kanumba, na video hiyo kuonesha kuwafurahisha wafuasi wengi wa mita...
20
Madam Lulu, mwalimu mwenye muonekano tofauti
Walimu wengi huwa na mitindo ya kufanana kwenye mavazi, mavazi ya heshima yasiyiweza kuonesha maungo yao ni sheria kwao. Lakini hiyo imekuwa tofauti kwa mwalimu Lulu maarufu k...
17
Lulu amjia juu shabiki kisa Hamisa Mobetto
Muingizaji wa #BongoMovie Elizabeth Michael (Lulu), kama ilivyo kawaida yake kutovumilia maneno ya  mashabiki kwenye mitandao ya kijamii, kwa mara nyingine tena #Lulu ama...
16
Mahakama yaamuru mwanafunzi aliyefukuzwa kurudishwa chuoni
Baada ya kufukuzwa chuo kwa kosa la kufanyiwa mtihani na mwenzake, mwanafunzi washada ya kwanza ya sheria katika chuo cha Tumain Dar es salaam (TUDARCO) aliyefahamika kwa jina...
19
Lulu amjibu Mange Kimambi
Baada dada wa Taifa Mange  kuandika habari katika app yake kuwa Elizabeth Michael maarufu kama Lulu  kuwa ni muathirika wa HIV  Muigizaji huyo wa...

Latest Post