Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manch...
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua ch...
Tanzania imeendelea kuwa kivutio cha watalii kuja kupumzika na kutembelea vituo vilivyopo, hii ni baada ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa Morocco, Sofyan Amrabat...
Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wes Brown amesema staa wa Al Nassr na Ureno ajiandae kwa majukumu tofauti na yale aliyozoea katika kikosi cha ‘timu’ ya ta...
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kutumia Pauni 60 milioni kwenye usajili wa straika wa Wolves, Matheus Cunha huku ikiweka mipango yake sawa kumnyakua pia staa...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester City, Jack Grealish anusurika kuanguka kwenye basi la wazi la Manchester City walilokuwa wakilitumia katika paredi ya kushehereke...
Kocha wa ‘Klabu’ ya Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwaka katika Ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2023/2024.Guardiola am...
‘Klabu’ ya Manchester United inataka walau asilimia 75 ya kiasi cha pesa ilicholipa kumnunua Jadon Sancho mwaka 2021 ikiwa ‘timu’ yoyote itataka kumsaj...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya Manchester United, Erik ten Hag ameweka wazi kuwa bado yupo sana klabuni hapo na hana mpango wa kuondoka kwa msimu huu utakapo kwisha.Ten ...
Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli. Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dh...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mchezaji wa Manchester United, Jadon Sancho kurudi kwenye ‘timu’ yake ya zamani kwa mkopo hatimaye ‘klabu’ hiyo ya ...