Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manch...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester City, Jack Grealish anusurika kuanguka kwenye basi la wazi la Manchester City walilokuwa wakilitumia katika paredi ya kushehereke...
Kocha wa ‘Klabu’ ya Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwaka katika Ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2023/2024.Guardiola am...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ Manchester City walifanya makubaliano na ‘klabu’ ya #WestHam kumchukua #LucasPaqueta kwa ada ya Pauni 85 milioni kabla ya dili hi...
‘Winga’ wa #ManchesterCity Jack Grealish ameeleza kuwa ‘kocha’ wao Pep Guardiola amewapiga marufuku wachezaji wake kusheherekea ushindi wao kupita kias...
Mchezaji kutoa ‘klabu’ ya Manchester City, #João Cancelo kupita #InstaStory yake ame-share wimbo wa msanii #Marioo_tz #MiAmor.
Hii inadhihilisha kuwa ...
Mwanasoka kutoka klabu ya Manchester City, Benjamin Mendy mwenye umri wa miaka 28 anatuhumiwa kwa kosa la kumbaka msichana mmoja mwenye umri wa miaka 28 na kumwambia msichana ...
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy ameweka record ya msanii wa kwanza Afrika kwenye fainal ya ligi ya mabingwa UEFA.
Nyota huyo amewaburudisha ...
Timu ya mpira wa miguu ya Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi ikiwa itakutwa na hatia kwenye tuhuma za kuvunja sheria wanazodaiwa kuzifanya m...
Mambo ni moto mambo ni fire!! Watoto wa mjini wanasema hivyo bwana sasa basi iko hivi Timu za Manchester City, Middlesbrough na Crystal Palace zimefuzu hatua ya robo fainali y...