02
Mariah Carey huvuna mamilioni ya dola kila mwaka Krismasi
Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye amekuwa akitamba na nyimbo za Krismasi Mariah Carey atajwa kuingiza mamilioni ya dola kila mwaka kupitia nyimbo zake hizo.Carey hupata maoko...
01
Kamera ilivyobadili maisha ya Rosah
Safari moja huanzisha nyingine msemo huu unajionesha kwa mwanadada Rosamaria Mrutu ambaye alianza kufanya kazi kama mwanahabari lakini baadaye akajikuta anaangukia kwenye u-vi...
27
Simanzi ilivyovamia nyumbani kwa Maria Carey
Mwimbaji wa muziki nchini Marekani Maria Carey (59) amethibitisha kufiwa na mama yake Patricia pamoja na dada yake mwishoni mwa wiki iliyopita.Katika taarifa yake aliyoitoa si...
21
Kikongwe zaidi duniani apoteza maisha
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
03
Mbwa alamba dili kampuni ya magari
Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la #TucsonPrime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya #Hyundai il...
28
Arnold Schwarzenegger hana mpango wa kuoa tena
Baada ya Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Arnold Schwarzenegger kupeana talaka na mkewe Maria Shriver mwaka 2021, inadaiwa kuwa muigizaji huyo kwa sasa hana mpango wa ...
06
Hawa ajifungua mtoto wa kike, Amshukuru Diamond
Mwanamuziki #HawaNtarejea ameonesha furaha yake ya kupata mtoto wa kike huku akimshukuru Diamond kwa kumsaidia katika kila hali. Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanadada huyo...
05
Claudette: Ugonjwa wa Celine Dion hauna dawa
Dada wa mwanamuziki maarufu duniani Celine Dion, anaye fahamika kama Claudette Dion, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni amedai kuwa hakuna dawa yoyote itakayoweza kumfany...
08
Safari ya Dj Mamie katika tasnia yake
Mamboz guys!! Hivi unajua hii ni weekend nyengine mwamba ni kawaida yetu lazima tukuwekee kitu kizuri katika michezo na burudani ili usikae kinyonge mtu wangu wa nguvu. Leo ka...
28
Aishi na Sindano na uzi mwilini kwa miaka 11
Mwanamke mmoja kutoka nchini Colombia aliefahamika kwa jina la Maria Aderlina Forero aligundua kuwa ndani ya mwili wake kulikuwa na sindano na uzi vilivyosahaulika na madaktar...
14
Nick Cannon atamani kuzaa na Taylor Swift
Mtngazaji wa kipindi cha The howard stern kinacho rushwa na sirius XM Nick Cannon ambaye ana watoto mapacha aliozaa na Mariah Carey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema...
19
WCW:MARIA BASSO
Name: Maria Basso University: University of dar es salaam Position: Student Course: Diploma of journalism Year of study: Second year Favorite sport: Wresting Hobbies: Sing, wr...

Latest Post