Katika mazingira ya kazi, kuna vitu vingi vinavyoweza kujadiliwa kwa uwazi kati ya wafanyakazi, lakini pia kuna mambo ambayo ni bora kubaki siri. Kuweka mipaka katika masuala ...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #CamilaCabello ametamani #Drake na #KendrickLamar wamalize bifu lao ambapo amedai kuwa watu wamekuwa wakimsema vibaya Drake.Camila ameyasem...
Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina faida yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka.
Kwa mujibu wa tafit...
'Hapoi haboi' kauli hii unaweza kumwelezea aliyekuwa mpenzi wa mchezaji wa klabu ya #AlNassr, #CristianoRonaldo, Irina Shayk baada ya kuachana na mpenzi wake wa sasa, To...
Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Drake, #DennisGraham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake.
Kupitia #Instastory ya ‘rapa’ huyo...
Aliye kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Sunday Manara amefunguka kuachana na masuala ya mpira na kutouzungumzia kabisa, akidai mpira umejaa uadui.
Akizu...
Moja kati ya jambo ambalo linawakuta baadhi ya watu wakiwa maeneo ya kazi ni hili la uingiliaji wa matatizo binafsi mahali pa kazi.
Tambua kuwa ni rahisi kuruhusu matatizo ya ...
Changamoto ya ajira ni kilio cha dunia nzima hususan kwa vijana ambao wengi hujikuta wakizurura mitaani au kuzungunga na vyetu vyao wakisaka ajira ambazo zinazidi kuwa finyu k...