Moja ya show ambayo imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka ni na Show ya Halftime ya Super Bowl ambayo imeonesha ukubwa wake katika ufuatilia kwenye mitandao ya kijamii huku show ...
Moja ya staili ya ushangiliaji ambayo inakubalika zaidi huku ikiwavutia mashabiki wengi ni ambayo amekuwa akiitumia mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cr...
Tangu kuanza kwake muziki msanii wa Canada, Justin Bieber alikuwa akiwachanganya mabinti wengi kwenye mitandao ya kijamii kutokana na mwonekano wake, huku akiwamaliza zaidi kw...
Mtoto wa Michael Jordan, Marcus Jordan anatuhumiwa kukutwa na madawa ya kulevya aina ya Cocaine pamoja na kuendasha gari akiwa amelewa.Marcus mwenye umri wa miaka 34, alikamat...
Kwa miaka mingi, mfalme wa pop, Michael Jackson, amekuwa akihukumiwa kwa mabadiliko makubwa ya ngozi yake. Wengi wanadai kuwa alitaka kubadilisha rangi yake na kuwa mzungu.Lic...
Filamu inayoonesha na kuelezea maisha halisi ya mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ‘MJ’, imepangwa kuoneshwa rasmi kwa mara ya kwanza Oktoba 3, 2024 baada ya ku...
Mwanamitindo na mwigizaji kutoka Marekani Paris Jackson ambaye pia ni mtoto wa marehemu Michael Jackson ametangaza kuvishwa pete na mchumba wake wa muda mrefu Justin Long.Mape...
Katika usiku wa ugawaji wa Tuzo za Grammy mwaka 1984 marehemu mkali wa Pop Marekani, Michael Jackson aliwashangaza wengi baada ya kuvua miwani yake mbele ya umati wa watu.Kama...
Mwigizaji mkongwe wa Bollywood Amitabh Bachchan amesema alitaka kuzimia baada ya kukuana kwa mara ya kwanza na marehemu Michael Jackson ‘MJ’.Amitabh ameyasema hayo...
Video fupi ya marehemu mwanamuziki Michael Jackson (MJ) kutoka Marekani iitwayo ‘Thriller’ imefikisha watazamaji (views) bilioni 1 katika mtandao wa YouTube.Filamu...
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
Kaka wa marehemu mfalme wa Pop Michael Jackson, aitwaye Tito Jackson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70.Tito pia alikuwa mwanamuziki katika kundi la familia la The Jac...
Ikiwa leo ni Septemba 5 2024, Alhamisi ya 36 tangu kuanza kwa mwaka huku zikiwa zimebaki siku 117 kuumaliza mwaka.Upande wa TBT tunamuangazia mwanamuziki Michael Jackson, maar...