Rapa Sean 'Diddy' Combs anakabiliwa na mashtaka mapya ya biashara ya kuuza binadamu na unyanyasaji wa kingono baada ya Joseph Manzaro kudai alifanyiwa unyanyasaji na rapa huyo...
Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025 atakapopanda kwenye jukwaa la Bongo Fleva Honors. Fid Q atafanya sho...
Ni miaka 23 sasa tangu Hamis Mwinjuma 'MwanaFA' aachie wimbo wake 'Mabinti' wimbo uliobeba majina ya warembo maarufu waliotikisa kwa kipindi hicho. Kati ya warembo waliotajwa ...
Ni wazi kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto amegeuka mwalimu wa lugha kwa mumewe Stephanie Azizi Ki. Hiyo ni baada ya nyota huyo wa soka kuweka wazi kuwa amekuwa akifundishwa kis...
Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Kelvin KagamboSina lengo la kumshushia mtu heshima ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko wanaofanya muziki wa kuimba a.k.a wasanii w...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
Peter AkaroMwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian (44) amepanga kumpa mtoto wake wa kwanza, North, 11, pete ya almasi aliyovishwa wakati anachumbiwa na aliyekuwa mume wake, ...
Mehran Karimi Nasseri, raia kutoka Iran aliwavutia wengi baada ya kuishi katika Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, uliopo jijini Paris kwa zaidi ya miaka 18.Mwaka 1988, Nas...
Wakati mashabiki wakikoshwa na kazi za muziki kutoka kwa Ahmed Ololade ‘Asake’ kufuatia na mtindo wake wa uimbaji kwenye Afrobeat, Afropop, na Amapiano, nyuma yake...
Mwanamuziki na producer maarufu Marekani, Roy Ayers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda mrefu.Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na familia y...
Wanapotajwa mastaa wenye mchango mkubwa kwenye gemu ya Bongo Fleva, Joachim Marunda 'Master j' jina lake lazima liwepo.Uzoefu wake kwenye gemu huku akiwa amenoa vipaji mbalimb...
Ikiwa leo ni Alhamisi ya tarehe 6, Machi 2025 siku ambayo watu wengi huitumia kukumbuka baadhi ya matukio na mambo yaliyotokea miaka ya nyuma, moja kati ya tukio kubwa ambalo ...
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Rapa Jay-Z amfungulie mashtaka Tony Buzbee, wakili wa mwanamke aliyedai kubakwa na rapa huyo mwaka 2000 kwenye hafla za tuzo za Muziki za MTV....