22
Diamond, S2kizzy Na Rayvanny Wakikutana Lazima Haya Yatokee
Peter Akaro Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
06
Mbinu Aliyotumia Rayvanny Kuondoka WCB Bila Maneno
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefichua mbinu aliyotumia kuondoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) bila drama yoyote wala maneno h...
27
Afariki kwa kudondokewa na jiwe, Mwanza
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe akiwa katika shughuli za uchimbaji mawe. Kwa mujibu...
07
Muhubiri akamatwa kwa kuwapotosha waumini
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Herman Magigita mwenye umri wa miaka 60 mchungaji wa kanisa la ‘Neno’ lililopo kijiji cha Chema. Kwa kosa la kufanya sh...
26
Wamiliki wa kumbi za starehe waandamana.
Wamiliki wa baa na kumbi za starehe mkoani Mwanza wameandamana kwa kufungiwa sehemu hizo za starehe. Maandamano yamefanyika kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa huo Amos Makalla amb...

Latest Post