Mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan ameripotiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura katika Hospitali ya Lilavati jijini Mumbai baada ya kuchomwa kisu na jambazi ...
Mwigizaji wa Bongo Movie Fredy Kiluswa amefariki dunia leo Novemba 16,2024 akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mloganzila.Taarifa hiyo imethibitishwa na mwigizaji mwe...
Kufuatia kifo cha mwigizaji Fredy Kiluswa kilichotokea jana Novemba 16,2024 katika hospitali ya rufaa Mloganzila, mwongozaji msaidizi wa tamthilia ya 'Mizani ya Mapenzi' Alex ...
Mwigizaji wa Marekani John Amos ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘Coming to America’ na ‘Good Time’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84....
Waigizaji wa filamu Tanzania ambao wapo kwenye ziara nchini Korea kwa ajili ya kujifunza masuala ya filamu mapema siku ya leo walikutana na staa wa filamu Korea, Son Ye-jin na...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwigizaji kutoka nchini Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kuchapisha picha kupitia ukurasa wake wa Instagram ikionesha filamu yake ya &lsqu...
Mwigizaji mkongwe wa Marekani Bill Cobbs ambaye amejulikana zaidi kupitia filamu zake kama ‘Night at the Museum’ na ‘The Bodyguard’ amefariki dunia aki...
Mwigizaji kutoka Marekani aliyefahamika zaidi kupitia filamu yake ya ‘Pirates of the Caribbean’ Tamayo Perry amefariki dunia baada ya kuliwa na samaki aina ya Papa...
Mwigizaji Donald Sutherland, kutoka nchini Canada aliyejulikana kupitia filamu zake kama ‘The Hunger Games’ na ‘MASH’, amefariki dunia akiwa na umri wa...
Mwanamuziki wa Marekani George Strait amevunja rekodi nyingine katika taaluma yake ya muziki kwa kuujaza uwanja na kuifanya show yake hiyo kuweka historia mpya ya mauzo ya &ls...
Mwigizaji kutoka Marekani Johnny Wactor ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘General Hospital’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi katika moja ya mtaa wa ...
Mwandishi wa filamu na mwigizaji kutoka Marekani Morgan Spurlock, ambaye alijulikana zaidi kupitia filamu yake ya mwaka 2004 iitwayo ‘Super Size Me’ amefariki duni...
Mwili wa marehemu mwigizaji kutoka nchini Nigeria Pope Odonwodo umewasili katika kijiji alichozaliwa cha Ukehe Igbo-titi Local Government Area Jimbo la Enugu, kwa ajili ya tar...