Rapa Young Boy kutokea nchini Marekani amepangiwa kuachiwa huru Julai 27, 2025 baada ya kutumikia kifungo cha miezi 23 gerazani kwa kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria.R...
Mastaa mapacha wa shoo ya uhalisia 'Reality Show Big Brother Naija’ kutoka Nigeria Wanni na Handi Danbaki wameweka wazi namna ambavyo wanaume wanawasumbua kwa kuwatongoz...
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
Fainali za mpira wa kikapo Marekani NBA zimeripotiwa kuweka rekodi mpya ya bei ghali za ‘tiketi’ tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 ambapo kwa sasa ‘tiketi&rs...
Maafisa elimu Marekani wameingi katika uchunguzi wa bango la ubaguzi wa rangi lililomlinganisha nyota wa NBA, LeBron James na tumbili katika tangazo la chakula cha nafaka liit...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown amewajia juu baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimkosoa na kumshushia heshima yake katika jamii. Suala hilo linakuja baada ya msan...
Mwanamitindo na mfanyabiashara Kim Kardashian, ameeleza kuwa aliyekuwa mume wake Kanye West kwa sasa amebadilisha mtindo wake wa kuishi.Kim ameyasema hayo kupitia kipindi chao...
Baada ya mwanamitindo #KimKardashian kuvunja ‘rekodi’ ya bidhaa zake za SKIMS FOR MEN kwa kuagizwa na zaidi ya watu Elfu 20 ndani ya dakika 5, hatimaye mfanyabiash...
Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa ...
Akiwa katika interview na waandishi wa habari baada ya ushindi wa medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha nchini Marekani, mwanariadha Noah Lyles ameeleza juu ya ukosefu...
Msanii kutoka nchini Nigeria, Rema ala shavu kufanya kazi pamoja na mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu na mfanyabiashara Michael Jordan kwenye tangazo la bidhaa za michezo ...