Baada ya kuripotiwa kwa taarifa za kifo cha mwigizaji maarufu Kim Sae-ron (24) aliyefariki dunia nyumbani kwake jijini Seoul, hatimaye sababu kifo chake imetambulika.Kwa mujib...
Tangu kuanza kwake muziki msanii wa Canada, Justin Bieber alikuwa akiwachanganya mabinti wengi kwenye mitandao ya kijamii kutokana na mwonekano wake, huku akiwamaliza zaidi kw...
Mwigizaji anayewakosha kinadada wengi kwenye mitandao ya kijamii Aaron Pierre ‘Mufasa’ amesema mwanamuziki na mwigizaji Ashanti ndiye mwanamke aliyekuwa akimvutia ...
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
Moja ya nguo ambayo ilizua mjadala nchini Marekni ni gauni hiyo unayoiona kwenye video ambapo watu mbalimbali walikuwa wakibishana kuhusiana na rangi halisi ya gauni hilo.Hata...
Baada ya kuwepo kwa minong’ono kwa baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii ikidai kutoelewa jina la wimbo wa msanii wa Injili Joel Lwaga, ‘Olodumare’, hat...
Na Asma Hamis Mwaka 2024 umeleta mafanikio makubwa kwa wanamuziki wengi wa rap duniani, huku baadhi yao wakivunja rekodi za kusikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify.Wa...
Mkongwe wa Hip-hop nchini Jaymoe amewataka mashabiki na wapenzi wa muziki kumpa maua yake kabla hajafa kutokana na mengi aliyoyafanya na wasanii wenzie katika tasnia hiyo.Kati...
Mwanamuziki Barnaba Classic ambaye kwa sasa ni mwigizaji wa filamu ya Mawio inayorushwa Azam Tv amesema kuwa kabla ya kuanza muziki alikuwa mwigizaji
“Nilikuwa mwigizaji...
Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini #Focali...
Idara ya Polisi ya ‘Miami Beach’ nchini Marekani imetangaza kuwa kwasasa polisi watatumia magari ya Rolls-Royce katika doria za sehemu ya ufukwe (beach) pamoja na ...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...