Tasnia ya filamu na burudani Korea Kusini imepata pigo baada ya taarifa za kifo cha mwigizaji maarufu Kim Sae-ron (24) aliyefariki dunia nyumbani kwake jijini Seoul.Kwa mujibu...
Kuelekea siku ya ugawaji wa tuzo za Tanzania Comedy Award Tarehe 22 Februari 2025, Naibu waziri wa Habari tamaduni sanaa na michezo Hamis Mwinjuma, Mwana FA amesema tukio hilo...
Tamasha la Muziki la Sauti za Busara la 22, lililoanza Februari 14,2025, hatimaye limetamatika leo Februari 16, 2025 kwa burudani ya kusisimua kutoka kwa wasanii wa ndani na n...
S.Mwanamuziki wa Kenya Blinky Bill amesema ladha ya muziki wa Tanzania imepotea. Amegusia 'Nikusaidiaje' ya Professor Jay ft Ferooz na 'Inaniuma sana' (Juma nature) Msanii wa ...
Endapo jana Februari 14 ulikosa raha kwa sababu wengi walisherehekea siku ya wapendanao kwa kupokea zawadi, ujumbe wa mahaba au kwenda matembezi na wenza wao, wakati wewe haun...
Sisi wengine ni wajanja. Tunajua namna ya kuishi kwa akili na hawa viumbe. Ni agizo la 'Saa Godi' kwa sisi wanaume wote duniani. Ya kwamba tuishi kwa akili na hawa viumbe uzao...
Mtayarishaji muziki kutoka Marekani ambaye amewahi kufanya kazi na mastaa kama Kanye West amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54.Taarifa ya kifo chake imetolewa kupitia uku...
Ni wazi kuwa Barakah The Prince ni miongoni mwa wanamuziki waliojaliwa vipaji vikubwa hasa upande wa uandishi, sauti na melodi za kuvuti zilizofanya jina lake kuwa kubwa katik...
Mfahamu Debbi Wood mwanamama kutoka nchini Uingereza anayetajwa kuwa mwanamke mwenye wivu zaidi duniani, kutokana na tabia yake ya kutomuamini mume wake Steve Wood.Mwanamke hu...
Mshtaki wa ASAP Rocky ambaye ni rafiki yake wa zamani ASAP Relli, anaripotiwa kutoa ushahidi siku ya jana Januari 28 kwa kuelezea mashtaka mawili ya unyanyasaji aliofanyiwa No...
Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.Siku hi...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa club, isipokuwa za wasanii wachache ndiyo hupata bahati hiyo.Kati ya wasanii hao ni Moni Centro...
Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...