02
Utafiti: Wanaume wenye ndevu ni waaminifu
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la ‘Archives of Behavior’ umebaini kuwa wanaume wenye ndevu ni waaminifu huku wakiripotiwa kudumu kwenye mahusian...
21
Profesa Jay arudi rasmi kwenye siasa
Mwanasiasa Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’ jana Jumatano Novemba 20, 2024 amerudi rasmi katika siasa baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na kuugua.Profesa ...
23
Utafiti: Mabishano ya utotoni yanafaida ukubwani
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...
11
Muhimbili kuhifadhi mayai, wasiotaka kuzaa haraka
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuanzia Januari mwaka 2024 watafungua jengo linalohusika na huduma za upandikizaji mi...
03
Honey ya Zuchu yawaponza wakuu wa shule
Baada ya kusambaa kipande cha video kinachowaonesha wanafunzi wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii #Zuchu 'Honey' wilayani Tunduma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolo...
02
Baada ya siku 365 Profesa Jay arudi studio
Msaani wa miondoko ya Hip-Hop, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ameonekana akiwa studio akirekodi nyimbo ikiwa ni baada ya mwaka mmoja tangu atoe nyimbo ya “Hands U...
14
Serikali yapiga marufuku vitabu 16 vya watoto
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda  amepiga marufuku vitabu 16 vya watoto kutumika shuleni kwa madai ya kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja LG...
14
Historia ya Profesa aliekatwa mikono kwa kutunga swali tata la mtihani
Mnamo mwaka wa 2010, mkono wa profesa mmoja nchini India ulikatwa na watu wenye hasira kali baada ya kushutumiwa kwa kuutusi Uisla...
10
Profesa Jay atuma ujumbe mzito kwa Ndugai
Eeebwana huko mitandao basi story ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai zinaendelea kupambana moto na kuteka hisia za watu mbalimbali. Unaambiwa aliyekuwa Mbunge ...
09
Prof. Jay: Ni muda wa bomu lingine
Msanii wa muziki wa hip hop hapa nchini, uwenda akaachia ngoma mpya kabvla yam waka huu kuisha. Hiyo inakuja baada ya Prof. Jay kuposti  katika ukurasa wake wa Instargram...

Latest Post