Mchekeshaji Said Said amesema picha aliyopiga na Rais Samia Suluhu Hassan imempatia michongo mingi ambayo hakutarajia.Said ambaye kwa sasa ameweka picha hiyo kwenye billboard ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa uteuzi wa wasanii Hamis Mwinjuma (Mwana FA) na Nickson Simon (Nikki wa Pili) katika nafasi za uongoz...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ndio anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa tuzo za wachekeshaji ‘Tanzania Comedy Award’ ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kutokana na kifo cha nguli wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii.Salamu hizo amezitoa k...
Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...
Ikiwa imepita siku moja tuu tangu mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo, kujibuwa ‘komenti’ na Rais Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya Mtangazaji Salama Jabir, amb...
Unaweza kusema ni asubuhi ya kheri kwa Beatrice Mwalingo (28) fundi nguo ambaye amepewa ahadi ya kununuliwa cherehani na Rais Samia Suluhu Hassan.Hiyo ni baada ya dada huyo am...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayotumika kuwasafirisha wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa (Taifa Stars) kwenda Nchini Morocco ambapo watacheza na ‘timu&...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya bendera ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dk Patrice Motsepe Ikulu Chamw...
Ikiwa imebaki siku moja kwa ‘klabu’ ya Simba kuingia dimbani kukipiga na Al Ahly katika michuano ya AFL, Rais Samia ameendeleza pale alipoishia ambapo ameweka wazi...
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...
Wakati wanajangwani wakitarajia kuachia Documentary yao, wanamsimbazi wao wanajiandaa kusherehekea kilele cha siku ya wanasimba inayotarajiwa kufanyika Agosti 6.Kupitia ukuras...