Ningekuwa S2Kizzy nisingebishana na mtu yeyote anayesema S2Kizzy sio prodyuza mkali. Nisingebishana na mtu yeyote anayekataa kukubali kwamba kati ya ‘hit song’ zot...
Jarida maarufu Duniani 'Wealth' linalojihusisha na kutoa ripoti mbalimbali kuhusu utajiri na umiliki wa mali kwa watu maarufu duniani. Limetoa orodha ya watu maarufu wanaopoke...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefichua mbinu aliyotumia kuondoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) bila drama yoyote wala maneno h...
Baada ya mkali wa Hip-Hop kutoka Marekani Sean Combs ‘Diddy’ kukamatwa Septemba 16, 2024 na kutupwa katika gereza la Metropolitan, majina ya baadhi ya mastaa yalic...
Staa wa muziki na mjasiriamali Rihanna, amejitokeza kukanusha video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akizungumza kuhusu manunuzi yake ya vitu vya gharama kub...
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB Diamond Platnumz amekanusha msanii wake Mbosso kuondoka kwenye lebo hiyo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameeleza kuwa tayari w...
Lamata Mwendamseke ‘Lamata Leah’ndilo jina lake mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini ambaye ameifanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 10 hadi sasa.Kwa kipindi ...
Lebo ya muziki inayofanya vizuri Bongo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ imetangaza kusaka wasanii wapya sita mwaka huu.Taarifa hiyo iliyotolewa na Pruducer wa lebo hiy...
Ndivyo tunaweza kusema kufuatia Diamond Platnumz kuendelea kuwa kinara wa mambo mengi katika tasnia ya muziki hasa wa Bongofleva ambao umempatia mashabiki wengi tangu mwaka 20...
Licha ya Rayvanny kushirikiana na aliyekuwa bosi wake kimuziki, Diamond Platnumz katika nyimbo 10, hakuna hata moja iliyofikia rekodi aliyoipata katika nyimbo mbili tu alizoms...
Msanii wa WCB D Voice ametoa angalizo kwa wasanii wa singeli kutotoa nyimbo Desemba 31,2024 kwani watakula hasara.“Wale Wasanii wa Singeli mnaosubiria mtoa nyimbo tarehe...
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Queen Darleen kwa kipindi cha takribani miaka 20 akiwa ndani ya tasnia hiyo, ana makubwa aliyoyafanya katika muziki wake kwa kiasi chake akitengeneza ...
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Zuchu akitimiza miaka 31 yapo mengi ambayo yamemgusa katika tasnia yake, lakini kwa kawaida mambo haya mawili tunawe...