Peter Akaro
Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefichua mbinu aliyotumia kuondoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) bila drama yoyote wala maneno h...