Usiku wa kuamkia leo Desemba 23,2024 imefanyika sherehe ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya msanii na mfanyabiashara Shilole ambaye aliambatanisha sherehe hiyo pamoja na kufur...
Msanii wa Bongofleva, Bongo Movies na mjasiriamali, Zuwema Mohammed 'Shilole', amesema atafunga ndoa na mpenzi wake wa sasa muda si mrefu ujao, ikiwa ni ndoa yake ya nne tangu...
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, Shilole amesema kukosea kwake kuzungumza Kiingereza huwa anafanya makusudi ili watu wacheke.
Shilole anayejishughulisha pia na bias...
Vipi, wameachana au ni kiki? maswali ni mengi kwa ndoa ya msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohamed 'Shilole' na mumewe Rajabu Issa 'Rommy' kutokana na yanayoendelea mitandaoni....
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...
Mwanamuziki wa #BongoFleva Shilole anadai kuwa anaweza kuchana huku akikumbushia wimbo wake ambao alimshirikisha msanii mkongwe Chidi Beenz uliyotoka miaka minne iliyopita &ls...
Ebwana moja kati ya story kubwa huko mitandaoni ni hii hapa ambapo mwanadada Mjasiraimali na Msanii pia Shilole ameamua kuwakumbusha wasanii wenzie kuacha dharau kati yao kwa ...
Huenda hali si shwari kwa urafiki wa wasanii wawili kati ya Babalevo na Shilole baada ya Babalevo kumuonya Shilole akae mbali na maisha yake asimfanye akaanza kuongea mambo ya...
Anaandika msanii Shilole kwenye page yake ya Instagram kuhusu harakati za wanawake katika maisha pia amewataka waendelee kuwaheshimu wanaume.
"Sikia sauti ya Komando Shishi, a...
Ebwana eeh!! kutoka kwenye ukurasa wa Instagram msanii na mjasiriamali Zuwena Mohamed maarufu Shilole ameandika ujumbe huu hapa.
''Mara nyingine umbali huleta amani na uk...
Wanasema wagombanao ndio wapatanao, hilo limetokea kwa msanii Alikiba na Shilole kuwa na tofauti na kurushiana maneno kwenye interview na mitandaoni kuhusu mualiko kwenye uzin...
Msanii wa muziki nchini Tanzania na mfanyabishara, Shilole maarufu kama Shishi amejibu tetesi zinazoendelea mitandaoni zimhusisha kuwa ni mjamzito.
Shilole amethibitisha kuwa ...