Baada ya mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan kufanyiwa upasuaji wa dharura baada ya kushambuliwa na jambazi na kuchomwa kisu, hatimaye madakatari wameweka ...
Mchezaji wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki ameshare zawadi aliyopatiwa na rafiki yake mwigizaji na mfanyabiashara Hamisa Mobetto.Kupitia ukurasa wa Instagram wa mchezaji huyo...
Rapa Young Boy kutokea nchini Marekani amepangiwa kuachiwa huru Julai 27, 2025 baada ya kutumikia kifungo cha miezi 23 gerazani kwa kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria.R...
Filamu inayoonesha na kuelezea maisha halisi ya mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ‘MJ’, imepangwa kuoneshwa rasmi kwa mara ya kwanza Oktoba 3, 2024 baada ya ku...
Baada ya filamu ya Squid Game Msimu wa 2 kufanya vizuri na kupata rekodi za kutosha, hatimaye wasambazaji wa filamu hiyo Netflix wametangaza tarehe rasmi ya kuachia filamu hiy...
Ikiwa imepita wiki moja tangu rapa kutoka jijini Atlanta Marekani, Young Thug kutoka gerezani kutokana na makosa yaliokuwa yakimkabili, hatimaye ameanza kutekeleza adhabu aliz...
Baada ya zaidi ya video 300 za ngono kusambaa katika mitandao ya kijamii za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) kutoka Guinea ya Ikweta Baltasar...
Waswahili wanasema vya kale ni dhahabu, watozi na wanagenzi wakafika mbali zaidi na kusema wakongwe hawafi 'legends never die'.
Hii imethibitika baada ya mwigizaji mkongwe Sha...
Msemo wa hatupati tutakacho tunapata tujaliwacho ndiyo unaweza kuelezea ndoto ya mwanamuziki wa hip-hop nchini Cosmas Paul 'Rapcha' ya kutamani kuwa padri ilivyogeuka kuwa bab...
Moja ya biashara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kama utaweka jitihada na nguvu katika kujifunza ni sanaa. Kutokana na hilo, sekta hii imekuwa ikikimbiliwa na vijana wengi...
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani.
Ak...
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
Rapa kutoka nchini Marekani Dream Doll ametumbuiza wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva Rayvanny uitwao ‘Shake shake’ nchini Uingereza alipokuwa katika zira yake.
K...