Waigizaji maarufu Marekani Tom Holland na Zendaya wameripotiwa kuchumbiana wakati wa msimu wa Sikukuu uliyopita kwenye moja ya makazi ya familia ya Zendaya.TMZ imeeleza kuwa u...
Mwigizaji maarufu ambaye amefanya vizuri kupitia filamu ya Spider Man, Tom Holland amefunguka sababu ya kutoongozana na mpenzi wake Zendaya kwenye red carpets wakati wa uzindu...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Kati ya filamu za animation zilizojizolea umaarufu duniani ni Tom na Jerry iliyoanzishwa na mchoraji wa vibonzo William Hanna, raia wa Marekani aliyesomea uandishi wa habari k...
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
Kila kazi huna na changamoto zake, bila kujali ukubwa au udogo wake. Katika tasnia ya uigizaji wasanii hutumia mbinu mbalimbali ili kuzipa ubora kazi zao, lakini mbinu hizo wa...
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu mwanamuzika wa Marekani, Justin Timberlake kukamatwa na polisi akiwa amelewa, msanii huyo ametumbuiza kwa mara ya kwanza katika tamasha la...
Mwanamke mmoja kutoka New Zealand, aliyetambulika kwa jina la CL amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kushindwa kumpeleka (kumsindikiza) uwanja wa ndege wakati wa kusafiri.Kw...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, hivi ndivyo unaweza kusema kutokana na njia wanayotumia jamii ya Santo Tomás kutoa hasira zao na kutatua migogoro.Jamii ya San...
Baada ya mwigizaji kutoka Ireland, Cillian Murphy kukataa ofa kutoka kwa Margot Robbie ya kurudi kwenye filamu ‘Peaky Blinders’ akiigiza kama Tommy Shelby hatimaye...
'Klabu' ya Inter Milan imecheza ‘soka’ la kibabe ikiichapa mahasimu wao AC Milan mabao 2-1 na kutwaa taji lao la 20 la Serie A huku ikiwa bado na ‘mechi&rsqu...
Baada ya kuondoka na tuzo ya Oscar 2024, kama Mwigizaji Bora wa Kiume, Cilian Murphy ameripotiwa kuonekana katika muendelezo wa filamu ya ‘Peaky Blinders’.Taarifa ...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami Lionel Messi anatajwa kuwa ndiye mwana-soka anayefuatiliwa na kupendwa zaidi nchini ...
Na Aisha Lungato
Katika kila sehemu ambayo inamzunguko wa watu wengi lazima kutakuwa na tabia zinazofaa na zisizofaa, na kama tunavyojua sehemu kama kazini, chuo, shule. Kunak...