Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhozi Kainerugaba amezua gumzo mtandaoni baada ya kuonesha kuvutiwa na mwanamuziki kutokea Nigeria Ayra Starr.Kupitia mtandao wake wa...
Nyota wa muziki Uganda Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ya kongosho, jana Desemba 23, 2024, alitolewa kwenye hospitali ya Nakasero jiji...
Baada ya kutokea sintofahamu katika tamasha la Furaha City Festival lililofanyika Desemba 7, 2024 nchini Kenya. Mwanamuziki Harmonize ametoa onyo kwa wasanii wa Uganda.Konde a...
Dickson Marangach Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Olimpiki wa Uganda, Rebecca Cheptegei amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Marangach alifariki dunia akiwa katika Chumba c...
Afisa mkuu wa polisi Uganda, Jackson Mucunguzi, ameweka wazi kuwa Shakib Lutaaya anaweza kumfungulia kesi ya unyanyasaji wa kisaikolojia mke wake Zarinah Hassan ‘Zari&rs...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido amezindua ‘Kozi’ mpya ya Muziki na Sanaa katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika Mashariki Kampala nchini Uganda....
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
Baada ya kuzuka sintofahamu kwa wanandoa Zari pamoja na mumewe Shakibi kuwa wameachana, wawili hao wamethibitisha kuwa wapo pamoja baada ya kuonekana Saudi Arabia.Kupitia ukur...
Aliyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago vyake na kurudi nchini Uganda.Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao...
Uhali gani! mchakarikaji mwenzangu, mwisho wa mwezi huu embu tukae kidogo tuulizane umeingiza shilingi ngapi mwezi huu? au ndiyo patupu na upo tuu hapo hutaki kujishughulisha....
Kampuni ya 243 Events ya kutoka nchini Uganda imepanga kumfungulia mashtaka mwanamuziki kutoka nchini Congo Fally Ipupa kudai haki yao baada ya mwanamuziki huyo kushindwa kuto...
Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027.
Kamati ya Utendaji CAF imetangaza uamuzi huo leo nchini ...
Mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Uganda anayefahamika kwa jina la Ssaalongo Nsikonenne Habib amezua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuf...