07
Will Smith Atangaza Ujio Wa The Matrix
Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith amedokeza ujio wa kurudishwa kwa filamu ya zamani ya ‘The Matrix’ akiweka wazi kuchukua nafasi ya Neo ambaye alikuwa ni muhusi...
09
Ujio wa Idris Elba wafanya Anko Zumo awatulize waigizaji
Baada ya mwigizaji kutoka Uingereza, Idris Elba kutangaza kuhamia Afrika katika kipindi cha miaka 10 ijayo kwa lengo kukuza tasnia ya filamu huku akitaja maeneo atayoishi ikiw...
27
Megan athibitisha ujio wa album yake mpya
Rapper kutoka Marekani #MeganTheeStallion ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo ‘Megani’ inayotarajiwa kutoa siku ya kesho Ijumaa June 28, 2024. Megan amethib...
11
Ugonjwa wa Celine Dion ulimuanza mwaka 2008
Mwanamuziki wa Canada Celine Dion, ameweka wazi kuwa ugonjwa aliokuwa nao wa ‘Stiff Person Syndrome’ ulianza kumsumbua toka mwaka 2008. Dion ameyasema hayo wakati ...
15
Chino: nimejipata naweza kufanya chochote kwa pesa zangu
Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anawez...
30
Studio ya Jux kama kwa Diddy
Wanamuziki kutoka nchini Diamond, Jux, Billnass, Mbosso na mtayarishaji S2kizzy (Zombie) wako jikoni kuandaa ngoma ya pamoja ambapo kupitia video inayosambaa mitandaoni inawao...
17
Mapenzi chanzo Tiwa kuingia kwenye muziki
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #TiwaSavage ameweka wazi kuwa aliingia kwenye muziki kwa sababu ya mwanaume, lakini ndoto yake ilikuwani uigizaji. Tiwa ameyasema hayo wakati...
18
ASAP afunguka kwa mashabiki ujio album mpya ya Rihanna
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #ASAPRock amefunguka mbele ya mashabiki juu ya ujio wa Album mpya ya mpenzi wake #Rihanna baada ya kuulizwa na mashabiki nchini Ufaransa. Kw...
08
The Weekend na ujio wa albamu mpya
Mwanamuziki kutoka nchini #Canada #TheWeeknd atangaza kutoa albumu yake mpya hivi karibuni ingawa bado hajaweka wazi jina la albumu hiyo.    The Weeknd amethibi...
15
Mtendaji mkuu Man United ajiuzulu
Aliye kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #RichardArnold amejiuzulu baada ya miaka 16 ya utumishi wake ‘klabuni’ hapo. Inadaiwa k...
07
Rais wa kitaa na Messi wa bongo fleva wanajambo lao
Mwanamuziki wa Hip-Hop Nay Wa Mitego na Rich Mvoko, wanatarajia kuachia ngoma yao hivi karibuni, itakayoenda kwa jina la #SioWewe, Nay amedhihirisha ujio wa ngpma hiyo kupitia...
22
Rihanna kurudi kwenye muziki kwa kishindo
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Rihanna anadaiwa kuwa yupo kwenye mipango ya kurejea kwenye muziki kwa kishindo ambapo anatarajia kufanya ziara kubwa ya muziki mwishoni m...
04
Sababu ya kifo cha muigizaji Jacky ni upasuji kujiongezea urembo
Hatimaye uchunguzi wa maiti uliofanywa na wataalamu umethibitisha kuwa muigizaji na mfanyabiashara Jacky Smith aliyefariki dunia mwezi mei mwaka huu, alipoteza maisha kutokana...
27
Stamina: Amapiano inatosha kwa Chino, Abadilishe vibe
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Stamina ameweka wazi ujio wa ngoma mpya ambayo ameshirikishwa na mkali wa Amapiano Chino huku akileza kuwa kwa sasa Chino inabidi abadilishe vibe...

Latest Post