17
Utafiti: Wanaume Wafupi Wanaishi Maisha Marefu
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanaishi maisha marefu kuliko wanaume warefu.Wa...
14
Utafiti: Kufurahia Kahawa Asubuhi, Kunapunguza Magonjwa Ya Moyo
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kutoka tovuti ya ‘European Heart Journal’ unaonesha kuwa kufurahia kikombe cha kahawa asubuhi kunaweza kupunguza hatari ya mago...
03
Utafiti: Wanaotembea Haraka Hawana Furaha
Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa katika tovuti ya ‘Research Gate’ umebaini kuwa watu wanaotembea haraka wanaviwango vya chini vya furaha.Hata hivyo kulingana n...
31
Utafiti: Kuandika Malengo Kunasaidia Kuyatimiza
Tukiwa tumebakiwa na masaa machache tu kwenda kuumaliza mwaka 2024 na kuingia mwaka 2025 huku kila mtu akiwa na malengo yake anayotamani kuyatimiza mwakani, hivyo basi utafiti...
30
Utafiti: Brazili Yashika Namba Moja Nchi Inayopenda Kuoga
Kulingana na utafiti uliyofanywa na kampuni ya ‘Kantar Worldpanel’, unaeleza kuwa nchi ya Brazil inashika nambari moja kama nchi inayopenda kuoga zaidi duniani, ik...
06
Utafiti: Mmoja kati ya wanne anaweza kuongezeka uzito msimu wa sikukuu
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Talker Research umebaini kuwa mtu mmoja kati ya watu wanne anaweza kuongezeka uzito wa hadi k...
02
Utafiti: Wanaume wenye ndevu ni waaminifu
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la ‘Archives of Behavior’ umebaini kuwa wanaume wenye ndevu ni waaminifu huku wakiripotiwa kudumu kwenye mahusian...
09
Utafiti: Kumbusu mpenzi wako asubuhi kutakusaidia kuishi maisha marefu
Mtindo wa maisha wenye afya, kula mlo wenye virutubishi kamili, kuishi katika mazingira salama na yenye kuridhisha, kufanya mazoez...
06
Utafiti: Kupumua mbele ya mpenzi wako kunaimarisha uhusiano
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na mtaalamu wa masuala ya ndoa na familia nchini Marekani, Gary Brown ameeleza kuwa kupumua mbele ya mpenzi wako (kujamba) kunaweza kuwa isha...
02
Utafiti: Wanaotumia gharama kubwa kwenye harusi, hupeana talaka mapema
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Hugo M Mialon (Profesa, Idara ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Emory) na Andrew Francis-Tan (Lecture...
25
Utafiti: Watumiaji wa Iphone wanakiwango kidogo cha fedha na elimu
Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
30
Utafiti: Gen Z siyo walevi
Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa na tovuti ya Forbes umebaini kuwa kizazi cha Gen Z kinakunywa pombe kidogo zaidi kuliko vizazi vilivyotangulia.Utafiti huo unaeleza kuwa u...
24
Utafiti: Njaa inamfanya mtu achukue maamuzi magumu
Kwa mujibu wa utafiti kutoka kwa ‘Plos One’ umebaini kuwa njaa inaweza kumfanya binadamu kuchukua maamuzi magumu.  Utafiti huo pia ulionesha kwamba njaa haich...
23
Utafiti: Mabishano ya utotoni yanafaida ukubwani
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...

Latest Post