Nancy Sumari Miss Tanzania 2005, hadi sasa ndiye mrembo mwenye historia yenye msisimko zaidi tangu kuanzishwa kwa Miss Tanzania, hii ni baada ya kufanikiwa kutwaa taji la Miss...
Moja ya stori inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Whozu.Kutokana na wadau na mas...
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Lulu Diva anayetamba na nyimbo kama Utamu, Ona, Amezoea, Nilegeze na nyingine, amesema ifikie mahala watu waache kumuuliza Wema Sepetu kuhusu kupat...
Baada ya kukabidhi taji la Miss Tanzania aliloshinda mwaka 2006, Wema Sepetu alieleka nchini Malaysia aliposomea Biashara ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Limkokwing, akiwa ...
Mwigizaji mkongwe na mfanyabiashara Wema Sepetu ni kama amejifunza kutokana na yaliyotokea mwaka 2023 katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake, kwani mwaka huu amefanya sher...
Waigizaji wa filamu Tanzania ambao wapo kwenye ziara nchini Korea kwa ajili ya kujifunza masuala ya filamu mapema siku ya leo walikutana na staa wa filamu Korea, Son Ye-jin na...
Tanzania imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza Africa kufanya filamu na South Korea kwa ajili ya kuunganisha soko la filamu la Tanzania na Korea.Hayo yameelezwa kupitia ukurasa wa ...
Baada ya mwigizaji mkongwe na aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu kufika nchini Korea kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusiana na mswala mazima ya tasnia ya ui...
Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mw...
Leo katika Fashion tumekusogezea baadhi ya wasanii waliotokelezea katika upande wa mavazi na wale ambao waliwashangaza watu kwa mitindo ya mavazi yaani walitoa booko hah...
Kupitia ukurasa rasmi wa Snapchat, wa The Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu ame-share ujumbe ambao umewashitua mashabiki wengi na kuwafanya waulizane kipi kimemkuta mrembo huyo...
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...
Muigizaji Wema Sepetu ameyatoa ya moyoni baada ya kile kilichotokea kwenye birthday party yake, na kueleza kuwa hatokuja kufanya tena sherehe maisha yake yote.Wema ameyasema h...