06
Amber Rose Amkingia Kifua Diddy
Amber Rose, mwanamitindo na msanii amemkingia kifua rapa Diddy Combs akidai kuwa tangu aanze kwenda kwenye party za msanii huyo hajawahi kuona unyanyasaji wa kingono.Kwenye ma...
06
Huyu ndiye Master J usiyemfamu
Wanapotajwa mastaa wenye mchango mkubwa kwenye gemu ya Bongo Fleva, Joachim Marunda 'Master j' jina lake lazima liwepo.Uzoefu wake kwenye gemu huku akiwa amenoa vipaji mbalimb...
06
Afande Sele alivyowakalisha Mwana FA, Profesa Jay
Ikiwa leo ni Alhamisi ya tarehe 6, Machi 2025 siku ambayo watu wengi huitumia kukumbuka baadhi ya matukio na mambo yaliyotokea miaka ya nyuma, moja kati ya tukio kubwa ambalo ...
06
Mbinu Aliyotumia Rayvanny Kuondoka WCB Bila Maneno
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefichua mbinu aliyotumia kuondoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) bila drama yoyote wala maneno h...
06
Rushwa Ya Ngono Ilivyomnyima Tuzo Yemi Alade
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Yemi Alade amefunguka kuwa amekosa tuzo nyingi kutokana na kukataa kutoa rushwa ya ngono.Wakati alipokuwa kwenye moja ya mahojiano yake Yemi ...
05
Culkin Atokwa Machozi Kisa Tuzo Za Oscar
Mwigizaji wa Marekani ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘Home Alone’ Macaulay Culkin amefunguka kuwa alimwaga machozi baada ya mdogo wake Kieran Culkin kus...
05
Yaliyofanyika Kusafisha Jina La Burna Boy Kuhusu Diddy
Baada ya mkali wa Hip-Hop kutoka Marekani Sean Combs ‘Diddy’ kukamatwa Septemba 16, 2024 na kutupwa katika gereza la Metropolitan, majina ya baadhi ya mastaa yalic...
05
Kuwa Gerezani Hakumzuii Tory Lanez Kufanya Yake
Rapa wa Canada, Tory Lanez ametangaza ujio wa album yake ya 'Peterson' inayotarajiwa kutoka March 7, 2025 aliyoiandaa akiwa gerezani. Licha ya kufungwa kwake, Lanez anaendelea...
05
Quick Rocka kwenye maisha ya S2kizzy
Zikitajwa nyimbo kumi za Bongo zenye mafanikio makubwa, lazima jina la mzalishaji muziki S2kizzy litajwe. Hii ni kutokana na mkali huyo kuhusika kwenye kutengeneza nyimbo nyin...
05
Mfahamu Muosha Magari Mwenye Gharama Zaidi Duniani
Kampuni ya ‘Paul Dalton's Miracle Detail’ inatajwa kuwa ndio kampuni yenye gharama zaidi duniani katika uoshaji wa magari. Huku ikitumia dola 15,000 ikiwa ni zaidi...
05
Kimenuka Tena Kundi La P-Square
Mwanamuziki wa Nigeria Paul Okoye ‘RudeBoy’ wa P-Square amesema pacha wake Peter ‘Mr P', ndiye aliyehusika kumuweka gerezani kaka yao mkubwa Jude Okoye. Aliy...
04
Rihanna, Harmonize Na Fally Ipupa Walivyotoboa Kibishi
Moja ya tukio ambalo limeibua maoni mengi katika mitandao ya kijamii wikiendii iliyopita ni kuhusiana na maneno ya mmoja wa mtayarishaji wa muziki na jaji katika mashindano ya...
04
Bila nidhamu binafsi ngumu kutoboa kimaisha
Na MICHAEL ANDERSON Nidhamu maana yake ni utaratibu au sheria anayojiwekea mtu au kuwekewa mtu katika kufanya au kutofanya kitu ama jambo fulani. Mara nyingi nidhamu humwongo...
04
Mitupio ya mastaa kwenye usiku wa Trace Music Awards
Kawaida tasnia ya muziki inaambatana na masuala ya fasheni na mitindo.  Na hii ni kutokana na mchango wa mwonekano katika katika kukuza brand ya msanii. Hii imejionesha k...

Latest Post