Zimebaki siku kadhaa kuingia mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwezi ambao hupambwa kwa swala na nyimbo mbalimbali za Kaswida. Ni ngumu mwezi huo kumalizika bila kusikia wimbo uitwao...
Inafahamika kuwa mwanamuziki Sebastian Charles 'Jaivah' ni miongoni mwa wasanii waliopita vizuri na upepo wa muziki wa Amapiano. Tangu ulipoanza kuvuma ukitokea Afrika Kusini....
Marehemu mfalme wa muziki wa Pop kutoka Marekani, Michael Jackson ‘MJ’ mara zote alipokuwa akipanda jukwaani alionekana wa kuvutia kuanzia mavazi, na hata miondoko...
Unaambiwa licha ya Jay-Z kuwa mwanamuziki tajiri zaidi duniani, lakini muziki wake unachangia kwa asilimia tatu pekee kwenye utajiri wake.Rapa na mjasiriamali huyo ni mshindi ...
Katika ulimwengu wa muziki na sanaa, uwezo wa msanii kufanya utumbuizaji wa moja kwa moja 'live performance' ni mojawapo ya vipengele muhimu zaidi vinavyochangia mafanikio na ...
LEORNADO ATAMBA BAADA YA KUSHINDA TUZO Baada ya mchekeshaji Leornado kushinda tuzo ya 'Overall Best Comedian of the year' kupitia tuzo za Tanzania Comedy Award, ambazo zilitol...
Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy Award uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025. Umejaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao...
Mchekeshaji Nduttu ni mmoja kati ya waliokuwa wakiwania tuzo za ucheshi kupitia kipengele cha 'Best Upcoming Stand up Comedian of the year'. Kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awa...
Licha ya kukaa miaka zaidi ya minane bila kutoa kazi mpya, bado nyimbo za Shaa zilizompatia umaarufu zinaendelea kumtambulisha na kushikilia heshima yake katika muziki wa Bong...
Mwenendo wa sherehe ni maamuzi ya muhusika iwaje. Yaani yeye anataka afanye nini ili ipendeze na afurahi.Waalikwa punguzeni malalamiko na kupangia wahusiaka cha kufanya kwenye...
Mkongwe wa muziki wa Hip-Hop nchini Marekani J Cole amemualika staa wa Afrobeat kutokea Nigeria 'Burna Boy' nyumbani kwake North Carolina ambapo kuna studio yake ya nyumbani n...
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa singeli ambao asili yake ni uswahili. Ni hakika umewahi kusikia wasanii wa muziki huo na mashabiki wakijinadi kuhusu namba. Wapo wanaojitambul...
King Bad, Marioo ametusanua kwamba Video ya wimbo wa ‘Why’ kutoka kwenye album yake ya ‘The Godson’ imeghalimu zaidi ya Sh 56 milioni mpaka kukamilika ...