25
Kitundu Kuzikwa Kesho Makaburi Ya Wailes Temeke
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa filamu nchini, Raidanus Vitalis ‘Kitundu’ unatarajiwa kuzikwa kesho Alhamisi Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes yaliyopo Teme...
25
Kesi Ya Diddy Yafungwa, Kusubiri Uamuzi Wa Mahakama
Baada ya zaidi ya wiki sita za ushahidi mzito dhidi ya nyota wa muziki wa hip-hop, Sean “Diddy” Combs, sasa kesi hiyo imefungwa huku ukisubiliwa uamuzi wa mahakama...
25
Baada ya Miaka Minne, Squid Game Kutamatika Juni 27
Kampuni inayohusika na kuonesha filamu ya ‘Squid Game’, Netflix imethibitisha hitimisho ‘Final’ ya filamu hiyo kutoka wiki hii, msimu wa tatu wa Squid ...
25
Mwigizaji wa Jua Kali Kitundu afariki dunia
Mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis ‘Kitundu’ amefariki dunia Juni 24,2025.Taarifa za kifo chake zimetolewa na mzalishaji na mwongozaji wa tamthilia ya Jua Kali...
25
Mastaa wamlilia mwigizaji Kitundu
Mzalishaji na mwongozaji wa tamthilia ya ‘Jua Kali’, Leah Mwendamseka 'Lamata' ameelezea alivyopokea taarifa za kifo cha muigizaji wa tamthilia hiyo, Rai...
24
Mitindo Inayochukiza Kwasasa
Mavazi na mitindo ya 'fashion' hubadilika haraka, na kile kilichokuwa maarufu jana, leo kinaweza kuonekana cha kupitwa na wakati au hata kuchefua watu. Mitazamo kuhu...
24
Kwa Diamond Hii Sio Rekodi
Jana Machi 23, 2025 picha ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii huku ikiwashangaza wengi kutokana na bei inayouzwa.Picha hiyo ilipigwa...
24
Namna Ya Kutengeneza Cappuccino
Cappuccino ni kinywaji cha kahawa chenye vipimo sawa vya espresso, maziwa ya moto, na maziwa yaliyopigwa (milk foam). Kinywaji hicho kimejizolea umaarufu katika nchi nyingi ik...
24
Hatma ya Diddy kujulikana hivi karibuni
Mahakama ya jijini Manhattan imeendelea na kesi ya Sean “Diddy” Combs ambapo kwa sasa inaelezwa kesi hiyo ipo ukingoni huku hatma ya rapa huyo kujulikana hivi kari...
24
Majeraha yaendelea kumlaza Dj Mushizo hospitali
Mwanamuziki wa Singeli, Mussa Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ amefikisha wiki ya pili akiwa hospitali kutokana na ajali ya moto aliyopata nyumbani kwake.Akizungumza ...
24
Kabla ya afrobeat Asake alikuwa mwigizaji
Kabla ya kung’ara kwenye majukwaa makubwa na kuteka chati za muziki duniani kote, mwanamuziki Asake alianza kujitafuta katika sanaa ya uigizaji. Hiyo imejionesha baada y...
23
Kabla ya ustaa Chid Benzi alikuwa msaidizi wa Professor Jay
Peter Akaro Haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi kutoka kuwa msaidizi wa Professor Jay jukwaani hadi kuishika Bongo Fleva kwa wakati wake na kuwakilisha vizuri kule anapotokea k...
21
Ndani Ya Boksi: Mbosso Kila Harusi Milioni 50
Issa Matona. Mishangazi na midingi inamjua. Mwamba kutoka Visiwani. Alikuwa ni mwanamuziki wa taarabu. Lakini taarabu yake ilikuwa tofuati na hii ya kina Mzee Yusuf na wenzake...
21
Mwigizaji Damson Kuwa Mrithi Wa Chadwick
Mwigizaji maarufu kutoka Uingereza mwenye asili ya Nigeria, Damson Idris, ameendelea kupenya katika tasnia ya filamu ya Hollywood, hii ni baada ya kuthibitisha kuwa mmoja wa w...

Latest Post